Yalikukutaje mzee,si mbaya ukatushirikisha ili na wengine wajifunzeHayo Mambo ya kumpenda mtu hvyo nishaacha....yakiyonikuta zamani ndiyo yamenifanya niwe na kiasi ktk mapenzi
Uwoga wake tu dalili ya kumtolea mbavuni haikuwepo ila sababu anajua yeyeHuyo ni mwekezaji na mara nyingi wawekezaji huwekeza pale anapoona security ya mtaji wake ipo, yumkini alishanusa harufu kwamba utakuja kumtolea mbavuni ndo maana akaamua kukubwaga kabla!
Ebitoke aliokota mtoto baru baru wa mjini kwa jina la Yusuf akawekeza moyo,mwili na mali akidhani Yusuf huyu ni ukoo wa yule Yusuf babake Yesu wa kufikia but look kumbe huyu ni Yusuf Mlela bhana, kammega kisela kisha kamfyekelea mbali na maisha yanaendelea
Hako ka ID kako naanza kunusa harufu ya usaliti, ngoja CAG mpya aje afanye ukaguzi kwenye mahusiano yenu tuone kama palikuwa na matumizi mabaya ya upendo na hisia ili tujue who is who kwenye sakata hiliUwoga wake tu dalili ya kumtolea mbavuni haikuwepo ila sababu anajua yeye
Hii ikiwa na tafsiri kwamba wewe ulikuwa naye kimaslah zaidi si ndiyo? Watu wengine mnajichuchumila laana pasi kuja na wakati huo huo mkifanya mabinti washupalize shingo zao kwa wanaume ambao they means to be! Kama huyo ex wako yupo available tafadhali tuwekee namba zake za simu tujaribu bahati..wengine mitaji tunayo tunahitaji tu mwenye mapenzi ya aina ya ex wakoSawa akihitaji pesa yake nitamrudishia,ishazaa nitampa kama msaada tu
Usaliti kwangu isingekuwa rahisi alijitoa sana kwangu zawadi ya kumpa ikawa uaminifu.Hako ka ID kako naanza kunusa harufu ya usaliti, ngoja CAG mpya aje afanye ukaguzi kwenye mahusiano yenu tuone kama palikuwa na matumizi mabaya ya upendo na hisia ili tujue who is who kwenye sakata hili