Nitamtokeaje huyu Msichana?

stranger kwake lazima ukimwambia direct aogope
Kweli kabisa sijui kwa nini hawa dada zetu ktk hili swala la Mtongozano.com wanatufikiriaga vibaya ndio maana wanaume wengi tunaofia eti dada Sky Eclat tupe somo hapa inakuaje hii
 
Acha bwana usinitishe mwenzio nimeshaiandaa bado ku ipresent tu, barua ni jambo la heshima mi naona ndio maana hata kwenye maombi ya kazi tunaandikaga barua
Mara barua anaiokota sister kabla mlengwa hajaisoma.
 

Domo zege/ mambo ya barua hehe
 
Kirahisi hivyo?
 
Barua? mh ilikuwa zamani na nilikuwa fundi sana wa barua ila now nahisi nimesahau ufundi huo.
 
Kirahisi hivyo?
Haha kutongoza ni saana aseeh ndiyo maana kumfundisha mtu inashindikana saana. Yaani mtu kukupa attention inategemea vitu vingi saana
1. Chemistry
2. Muonekano wako
3. Status
4. Uchumi wako
5. Mazingira
6. Msaada wako kwake
Mambo kibao saana
 
Kwanza kabla atujakwambia cha kufanya unataka ku oa au kuchezea tu mana tusije kukaa tunakufundisha kwenda ku haribu future ya mtoto wa watu,alafu kesho uje kuleta mada za kuponda single mam tukaku suport na kumbe tumechangia kupatikana kwa single mom
 
Kwa jinsi yule mtoto alivyo haki ya nani ntamuoa endapo atanionesha mapenzi ya dhati ila akijifanya mjuaji TUTAJUZANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…