Alikuwa nayo kweli Mkuu, mwenye mimba ni mzanzi mwenzie kazaa naye mtoto mmoja mimi nimezaa naye wawili.Kauli hio inaashiria UBINGWA,,,,imekaa Kishujaa sana....
PELEKA MKEO HOSPITAL,,,huko utapata majibu ya maswali yako....na kutokana na kauli zako hapo juu,,endapo utamkuta alikuwa na mimba basi nina imani kuwa unajua nini cha kufanya kama Mwanaume..
Be a Man..
Ungekuwa hujalipia mahari usingeumia?Dah! hivi kuna kitu kinauma kama ukigundua umegongewa? hasa mke sio mpenzi hapana. Mke, yaani umelipia mahari na ndoa juu na watoto 😬😬😬 inauma kichizi tena ugundue hadi kapata mimba alafu akatoa yani dah! kama una roho nyepesi usichunguze bhana utaleta madhara, baada ya kugundua ni ngumu kufanya maamuzi positive.
POLE sana.Alikuwa nayo kweli Mkuu,mwenye mimba ni mzanzi mwenzie kazaa naye mtoto mmoja mimi nimezaa naye wawili.
Pole mkuu, sasa umeamuaje?Alikuwa nayo kweli Mkuu,mwenye mimba ni mzanzi mwenzie kazaa naye mtoto mmoja mimi nimezaa naye wawili.
Nimeshachunguza na nimejua alikuwa na mimba na hata mwenye mimba kamtaja,hakuna nilichokifanya zaidi ya kumtakia kila la heri na kuondoka zangu,tukiambiwa tusioe masingle mother mpaka tuone makaburi ya wazazi wenzao huwa hatuelewi mpaka yatukute.Dah! hivi kuna kitu kinauma kama ukigundua umegongewa? hasa mke sio mpenzi hapana. Mke, yaani umelipia mahari na ndoa juu na watoto [emoji51][emoji51][emoji51] inauma kichizi tena ugundue hadi kapata mimba alafu akatoa yani dah! kama una roho nyepesi usichunguze bhana utaleta madhara, baada ya kugundua ni ngumu kufanya maamuzi positive.
Definitely ni Misoprostol/cytotek angefanyiwa Manual Vacuum Aspiration jamaa asingejuaLabda mimba iliyotolewa kwa kumeza miso...lakini mimba ya kufanyiwa procedure sahihi (kusafishwa) wala hutoi hata tone la damu. Yani kwa mbaaali hasa.
Sihitaji ushauri wowote kwa sasa nimeshafanya maamuzi,ila kama kuna mtu anahitaji ushauri kutoka kwangu mlango u wazi.POLE sana.
Vp sasa umeshafanya Maamuzi tayari kuhusu huyo aliyekuwa Mkeo,, au bado unahitaji ushauri wetu Mkuu...??
Sawa mkuu. You will be fine!Nina watoto wawili naye,kwahiyo nimeondoka nimemwachia kibanda kwa ajili ya kulelea wanetu.
Sasa huoni ushaaribu kaka mnaumiza watoto, watoto wanahitaji malezi ya wazazi wote wawili kama sio kujua hivyo isingetokea hayo.Nimeshachunguza na nimejua alikuwa na mimba na hata mwenye mimba kamtaja,hakuna nilichokifanya zaidi ya kumtakia kila la heri na kuondoka zangu,tukiambiwa tusioe masingle mother mpaka tuone makaburi ya wazazi wenzao huwa hatuelewi mpaka yatukute.
Nakubali mjuzi.... Fundi.Labda mimba iliyotolewa kwa kumeza miso...lakini mimba ya kufanyiwa procedure sahihi (kusafishwa) wala hutoi hata tone la damu. Yani kwa mbaaali hasa.
Wengine ni kada zetu hizoNakubali mjuzi.... Fundi.
sasa jamani kwani fundi ni neno baya? hata ukiwa kwenye kada hiyo bado ni fundi.Wengine ni kada zetu hizo
Don't take it personal
Kwaiyo mkuu upo single sasa?.Bado anableed na nimeshaondoka nyumbani
Tabia ya huyo mkeo ndo ilikuwa mbaya. Hakuna uhusiano wowote na her social groupSihitaji ushauri wowote kwa sasa nimeshafanya maamuzi,ila kama kuna mtu anahitaji ushauri kutoka kwangu mlango u wazi.
😅😅😅umeua mkuuKwaiyo mkuu upo single sasa?.
Toa location unapatikana wapi