Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Jan-uary

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
967
1,015
Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.

Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.

Asanteni.
 
Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa,zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani,niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani haikupokea kwa bashasha,stori isiwe ndefu ,nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu,kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki,nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo.
Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa,napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana ndio maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba,asanteni.
Kitanda hakizai haramu😁
 
Kama katoa mimba muda si mrefu kipimo cha mimba kitaonesha " false positive" kwasababu hormone levels zitaonesha bado yu mjamzito huchukua muda kurudi katika hali zake za kawaida.
Unampa ushauri mtu ambaye ana taharuki?Unategemea atatoa muitikio gani hapo?Mtu wa hivyo ni wa kumdanganya kwa lugha nzuri ili asifanye madudu zaidi.
 
Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.

Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.

Asanteni.
Nenda google andika ulivyotuliza unapata jibu
 
Unajitafutia headaches za bei rahisi.Unakaaje muda mrefu hivyo mbali na mke?Ukiendelea kumchunguza utajikuta upo magereza au na weye utajiua.Kalaghabaho!
Baada ya Mungu zinafuata pesa,siwezi kuacha kwenda kutafuta pesa kwa kuogopa kugongewa,kwasababu najua sio wake za watu wanaogongwa wamesafiri na kukaa muda mrefu huko wanakokwenda,halafu maumivu ya kugongewa kapuku na mwenye chochote kitu ni tofauti.
 
Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa haikumfurahisha kwani hakuipokea kwa bashasha. Stori isiwe ndefu, nilifika nyumbani tarehe 18 mwezi huu, kilichonifanya nianzishe uzi huu hapa ni hiki.

Nimemkuta akiwa anablidi na akilalamika maumivu makali sana ya tumbo. Nahisi alikuwa ana mimba sasa kaamua kuichomoa. Napenda nijiridhishe kitaalam kama inawezekana, ndiyo maana nimekuja kwenu ili mnipe elimu kama kuna vipimo vya kisasa au njia nyingine mbadala ya kumtambua mwanamke aliyetoa mimba.

Asanteni.
Mkuu kua makini aisee msije gawana majengo ya serekali aisee ,
Kama vip we potezea tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom