myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
kwa imani yangu huo mchezo ni dhambi kubwa sana..ila kwa watu wa magharibi ni kawaida...Na nyinyi wanaume mnao waharibu watoto wa wenzenu namna hii, hamfikirii kuwa na nyinyi mmezaa watoto wa kike, mna dada zenu na pia wapwa wenu?
Huu mchezo ni moja ya sababu za kuteketea kwa Sodoma na Gomora, haijalishi uwe magharibi, mashariki, kusini au kaskazini ni dhambi kubwa sana inayomchukiza Mungu.kwa imani yangu huo mchezo ni dhambi kubwa sana..ila kwa watu wa magharibi ni kawaida...
huo mchezo ni dhambi kubwa....na wengi wanapenda dhambiHuu mchezo ni moja ya sababu za kuteketea kwa Sodoma na Gomora, haijalishi uwe magharibi, mashariki, kusini au kaskazini ni dhambi kubwa sana inayomchukiza Mungu.
kama Anna akiwa mjanja anaweza kutumia msemo usemao tumikia kafiri upate mradi wako, awe anatumia vizuri hiyo milioni apatayo kisha asevu pisa kwa nguvu, ikishatosha mtaji aachane na huyo bwana, amwachie nyumba na gari na kazi aache kisha asepe zake.Na nyinyi wanaume mnao waharibu watoto wa wenzenu namna hii, hamfikirii kuwa na nyinyi mmezaa watoto wa kike, mna dada zenu na pia wapwa wenu?
Mkuu, Jina Anna siyo halisi la muhusika.Anna wengi huwa wanakuwa wazuri mno na mama huruma sana, sijajua kwa nini.
Ila pole yake.
True.Na wazazi lazima tufanye reflection na kuangalia jinsi watoto wanavyopata pesa za kutusaidia, hili linawafanya hata vijana wajiingize kuuza unga ili kuokoa maisha ya nyumbani, mtoto anapokupa msaada jiulize amewezaje wakati wewe ulishindwa?
Asante sana mkuu.Mimi Nadhani Anna hana mshauri.
Huwezi ukatuma hela nyumbani kila mwezi, kila mwezi. Kwa sababu kuna siku utakuwa huna hela au kazi.
Anna, anatakiwa awe na goals. Aulize nyumbani ni biashara gani wanaweza kuifanya, ili kama ni kutuma hela, awe anatuma kuongeza capital na hiyo itakuwa mara chache. Nyumbani wakifanya biashara, hata yeye siku akikwama wao ndiyo watamtumia hela.
Hii itamletea ukombozi wa kutokufanyiwa sodomy. Awe na goals tu. Ila huo mchezo kama umeingia kwenye damu, utamcorrupt akili yake.
Anna hakulazimishwa. Kagawa kwa hiari yake. Kachukua kisingizio cha hali mbaya ya maisha kugawa tundu la mavi...
Tundu ni lake na uamuzi ni wake... Kama anafikiri anaweza kuibeba dunia peke yake... aendelee kugawa tundu hilo... baadae bosi atataka tundu la pua... ampe tu maana kishaamua.... Hata akiamia masikioni ampe tu ili atimize ndoto yake...
Nimemaliza...
Kuna wazazi wanapenda sana kufananisha, utamsikia anasema "mtoto wa flani amekwenda mjini juzi tu lakini ameshamjengea baba yake nyumba" maneno kama haya yanavunja moyo sana vijana.
hii ni comment ngumu yenye ukwel wake ambayo watu weng hatutaipendaAnna hakulazimishwa. Kagawa kwa hiari yake. Kachukua kisingizio cha hali mbaya ya maisha kugawa tundu la mavi...
Tundu ni lake na uamuzi ni wake... Kama anafikiri anaweza kuibeba dunia peke yake... aendelee kugawa tundu hilo... baadae bosi atataka tundu la pua... ampe tu maana kishaamua.... Hata akiamia masikioni ampe tu ili atimize ndoto yake...
Nimemaliza...