Ni utaahira mkubwa sana kupoteza muda kwenda kupiga kura wakati INEC tayari ina maagizo ya kuwatangaza wagombea wote wa CCM kushinda kwa 99%. Ni wapumbavu tu wataenda kupiga kura.
Ni haki yako ya kikatiba itumie na hakuna wa kukuuliza, kama ambavyo mimi kwa mwaka huu sikusudii kabisa kupoteza muda wangu kwenda kupanga foleni eti napiga kura ambayo wala haihesabiwi wala kuheshimiwa. Kwenye uchaguzi wa mwaka huu, nikiwa hai na akili yangu timamu kwa jinsi mambo yalivyo mimi ni sawa na Prof. Assad (CAG mstaafu).