Nitampata wapi wakuniridhisha kimapenzi?

Vumilia utaenda kuridhikia peponi!!!ya hapa duniani achana nayo!
 
......Aiseee!!. Hivi kule South Africa vurugu bado zinaendelea?
 
Kazi ya mwanaume ni kumridhisha mwanamke. Kama unawaridhisha basi ni budi kumshukuru MUNGU na kujipongeza, kwani wanaume now days ni vimeo.
Pili, nawe uwe na hisia za kufanya tendo; yaani mto...ne na si wewe ku...mba. Huyo mpz wako nawe awajibike...
 
ni kawaida sn kwa umri mdogo subiri ukue na kukomaa ndio utafahamu vema MTAPISHANA wakati wewe sasa unaridhika kbs yeye bibie ndo atakuwa anahitaji zaidi especially mke wa umri kuanzia 35 +

exactly
 
Hii lugha ya kifacebook inachosha na kukera sana!!!!!..lazima we bado ni mtoto,subiri ukue...
 
Mmmmhhh huu ushauri wako cjaupenda
 
Kazi ya mwanaume ni kumridhisha mwanamke. Kama unawaridhisha basi ni budi kumshukuru MUNGU na kujipongeza, kwani wanaume now days ni vimeo.
Pili, nawe uwe na hisia za kufanya tendo; yaani mto...ne na si wewe ku...mba. Huyo mpz wako nawe awajibike...

Hisiaa huwaa zipoo kibao semaa sielewi shidaa nnini mkuu
 
Umeasilika kisaikologia anza leo kuamini unarizika na taratibu itakuwa hivyo.
 
Una miaka mingapi please? na hao wanawake zako nao age zao plz na wanakotoka, bila kusahau una weka akili yako kwenye hilo tendo la ndoa au akili inafikiria Jam barabarani na bei za bidha zilivyopanda....
 
Miaka 26 wanawake n kuanzia 23 umri wao na akilii piaa huwa nawekaa kbs hapo na sifikiri chcht lkn ndio hvyoo
 
Miaka 26 wanawake n kuanzia 23 umri wao na akilii piaa huwa nawekaa kbs hapo na sifikiri chcht lkn ndio hvyoo
Asante, kwa uelewa wako ndani ya ulimwengu wa mapenzi kufikishwa au ili ufikishwe ulikua unahitaji ufanyiwe nini?sababau ni rahisi kwa mwanamme kufika kuliko mwanamke,au niseme bao ngapi labda ndio kidogo itakua afadhali ume karibia kufika ?
 
PITIA HAPO SHIVAZ AU ANNEX MRINA UTARIDHIKA BILA SHIDA :shocked:
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…