Nitamjuaje mwanaume aliyenipakia mkongo?

Cnataka nirelate tukio lilivokua ili nihakikishe kama kweli alitumia
Mwanaume ana chelewa kumaliza Kama ana fanyaga mapenz Mara nying mfano kwa wiki Mara 4, na Kama haja fanya mapenz siku nyingi lazima awai kumaliza na ana weza kuludia round Zaid ya tano
 
Kwa normal rate kwa binadamu kweli Ni dk 3 mpaka 5ikizidi Sana Ni 8 hizo za nusu saa au lisaa sio starehe Tena Ni kumkomoa mwenzio na huna love nae kabisa mapenzi Ni starehe sio karaa .Na pia kusema kuwa Eti ulikula hela zake na pombe ya ghali Ni ujinga Sana na ushamba mapenzi Ni starehe sio karaa jamani .
 
Mwanaume ana chelewa kumaliza Kama ana fanyaga mapenz Mara nying mfano kwa wiki Mara 4, na Kama haja fanya mapenz siku nyingi lazima awai kumaliza na ana weza kuludia round Zaid ya tano
Huyu itakuwa alichepuka siku so nyingi aisee
 
Well said
 
Yaani ndugu sredi umeiganda mwanzo mwisho.

Huna siku nyingi utawapakia mkongo wadada.

Full kuwanyoosha kuanzia wapangaji wenzio.

Loh🤣
Mahusiano na mpangaji mwenzako ni hazard tena yanahitaji precautions. Mkigombana utaiona nyumba chungu. Umepata mpya kumleta nyumbani huwezi na kodi ulilipa ya mwaka mzima.
 
Huyu itakuwa alichepuka siku so nyingi aisee
Mwanaume hasipo fanya mapenz mwez tu ana teseka tena Kama ana kula vizur na hana stress, siyo mgonjwa, lazima mbegu zitakuwa nying na zitakuwa zinatoka zenyewe ukiamka asubuh utajikuta umejichafua mwenyewe,na kila dakika uume una Simama tu.
 
Endelea kutengeneza bwawa

Soon utaanza kutuita vibamia, na hivyo hujaolewa, kuchepuka hakutoisha!!

Kaa mwaka mzima bila kutoa mbususu, mzigo ujilete kwenye ramani halisi
 
Hio inaitwa
PUTENGA PUTULU YA DANJEE..... nguvu yamba kumare . Jichanganyee uone moto
 
Wanawake hamuelewakagi mnataka nini yaani... mkisuguliwa kidogo shida mkisuguliwa sana napo shida... Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…