Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,126
- 62,117
Ni kweli,ninachokiona hapa kama maamuzi ya busara yasipotumika mwanaume kuna uwezekano wa kupoteza dira ya maisha ingawa alitumia nguvu nyingi kujipanga.Ata kama wataachana,mali zibaki kuwa ni za watoto.Pia mwanaume asilazimishe talaka kwa sababu akilazimisha mambo ya kugawana mali yataibuka,bali atumie technic ya kumuacha kwa vitendo mfano kutokula chakula cha mkewe,kutokushiriki tendo n.k huku akiwa na bi mdogo kwa nje kwa sababu s.ex ni hitaji muhimu kwa umri wakeYani kukaa karibu iwe source ya matatizo? Nachojua long distance relationship ndio ngumu na huwa zinaharibiwa sana na cheating activities baina ya wenzi.
Ukiona unakaa karibu na mpenzi wako mnagombana ujue hamko compatible ama mmezidiwa na ugomvi wa mara kwa mara kitu kinachopeleka mmoja akatafte faraja nje. Na kama alieanza kufanya hivyo ni mwanamke jua uhusiano lazma uyumbe kama sio kufa kabisa. Mwanamke akipenda mtu wa nje ujue umekwisha maana wewe lazma anakuona ng'ombe tu.
anaekushauri anapaswa kujua nn chanzo, maana unakuta mke nae anaitaka ndoa, so inahitaji kukaa pamoja na nyie kuwashauri na kuwasikia talaka sio solutionHabari wana jf.
Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.
Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.
Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.
Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ungefunguka tu hapahapa...Chanzo kirefu sana. Nimejitahidi kufupisha kwenye quotes nilizowajibu watu. Kuna siku nitaweka full story ya haya mambo mjifunze wanawake walivyo kwenye mambo ya mali
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kaka, tuwapendeni wake zetu lakini sio kuwaabudu. Kuna mambo mengine mwanaume inabidi asimame kama mwanaume. Eti kakosea yeye halafu uombe msamaha wewe. Mbaya saana yaani.Kuna sababu nyingine za ugomvi huwezi mwanaume kujishusha maana ni hatari kwa maisha yako mpk ujue mwenzio Mungu amemkomboa sio kujishusha shusha tu utakufa mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Good.! Ndo maana unaitwa Equation X. Naona umeu substitute mgogoro ukampatia jibu rahisi. Safi.Jibu rahisi,mali za watoto,watoto ni wababa.Ili kulinda mali mwanaume asianzishe talaka,ni bora mke aanzishe mme apinge ili kulinda jasho lake.
Mwanaume akifikia kuikimbia nyumba mara nyingi mke amekuwa mzinzi na kibri kubwa kwa kumdharau mume kwa sababu ya dereva mpya wa huko nje. ....bahati mbaya wanaume wengi huwa hawafunguki kuelezea uzinzi wa wake zao anaweka kama ni kiburi au ujeuri tu.Boss umesema vema kuwa unamtegemea Mungu, kumbuka kiapo chako mbele ya umati siku ile, ulisema utampenda katika shida na raha, hadi kifo kiwatwnganishe. Dhambi i ayokuruhusu kutoa talaka ni uzinzi wa mkeo, tofauti na hapoukimwacha ukaoa tenautakuwa unazini.hivo jitahidkuwa mvumilivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujasema chanzoHabari wana jf.
Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.
Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.
Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.
Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
daah hapa kweli inahitajika busara kubwa..Muombe Mwenyezi Mungu akusaidie katika hili Maana ugomvi wa wazazi unafanya watoto kuwa wanatanga tanga mwishowe wakakosa haki za msingi kutoka kwa wazazi!! Hekima inahitajika katika hiliMaisha ni zaidi ya Mali. Shida tunaangalia watoto ndo maana kichwa kinaumia. Tukigawana watoto hawataweza kusoma shule za ada hiyo maana majengo ndo yanawasomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
yes hapo wakienda mahakamani au kuwaona wanasheria Akisema Mali ni za watoto!! Amemaliza kila kituJibu rahisi,mali za watoto,watoto ni wababa.Ili kulinda mali mwanaume asianzishe talaka,ni bora mke aanzishe mme apinge ili kulinda jasho lake.
Nimewashuhudia wengi...hawasemi ukweli kuwa mke amekuwa mzinzi badala yake anatunga uongo eti kiburi or jeuri...sasa ukificha ukweli na sisi wachangiaji tutakujibu kulingana na mada yako fixMwanaume akifikia kuikimbia nyumba mara nyingi mke amekuwa mzinzi na kibri kubwa kwa kumdharau mume kwa sababu ya dereva mpya wa huko nje. ....bahati mbaya wanaume wengi huwa hawafunguki kuelezea uzinzi wa wake zao anaweka kama ni kiburi au ujeuri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa mzee umeshamuachia vitu vyote then unataka kurudi tena kulianzisha baada ya kuona anadunda tu humtishi kwa lolote.Habari wana jf.
Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.
Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.
Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.
Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Talaka nayo ina "process"?
Uislam raha sana.
Anafanya kazi Bank yupo sana mpka anapokaa nijirani na - - - wanguHabari wana jf.
Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.
Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.
Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.
Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mzee kwa mtihani, tafuta hata wazee mkae nao muyajenge unajua kuivunja ndoa sio muarobaini wa tatizo lenu but inaonekana distance factor imechangia wewe upo dar wife yupo shinyangaHabari wana jf.