Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,265
Habari wana jf.
Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.
Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.
Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.
Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app