Nitajuaje mimi ni ubavu wa nani?

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Kwa mujibu wa maandiko ya Dini zetu TAKATIFU, zimeelezea kuhusu mwanzo wetu sisi wanadamu, kwamba, Mungu alimuumba Adam kisha akamlaza usingizi akamtoa ubavu wake mmoja na kumuumba Eva na kumfanya mkewe.
Sasa mie nitajuaje nimetoka kwenye ubavu wa nani? Maana wanaoniambia eti nimetokana na ubavu wao ni wengi
Just curious!!!!!!!!!
 
Kuna ile hadithi ya kufikirika kuhusu mwanzo wetu sisi wanadamu. Kwamba Mungu alimuumba Adam kisha akamlaza usingizi akamtoa ubavu wake mmoja na kumuumba Eva na kumfanya mkewe.
Sasa mie nitajuaje nimetoka kwenye ubavu wa nani? Maana wanaoniambia eti nimetokana na ubavu wao ni wengi
Just curious!!!!!!!!!
Umeingia vibaya,..anyway karibu da Zinduna
 
Mwezi mtukufu wa Ramadhwahi huwa nafunga, na hivi majuzi kabla ya Idd el Hajji nilifunga pia, lakini mbona Mungu hajanifungulia!?

Mungu huwa anajibu kwa wakati wake na sio ule muda tuutakao sisi binadamu. Wengi wetu tunapokuwa na shida tunataka Mungu ajibu muda huohuo tunaofunga na kuomba. Hivyo vuta subira kwenye muda muafaka Mungu utaona amejibu ombi lako.
 
Inaonekana hauamini vitabu ndo maana unasema hadithi ya kufikirika,kwa ushauri kama unataka mtu positive tena,fikiri positive!
 
Inaonekana hauamini vitabu ndo maana unasema hadithi ya kufikirika,kwa ushauri kama unataka mtu positive tena,fikiri positive!
Yap_nadhani hata wewe umempata mkuu.
 
Mungu huwa anajibu kwa wakati wake na sio ule muda tuutakao sisi binadamu. Wengi wetu tunapokuwa na shida tunataka Mungu ajibu muda huohuo tunaofunga na kuomba. Hivyo vuta subira kwenye muda muafaka Mungu utaona amejibu ombi lako.

Mie sihitaji kwa sasa, ila nimechoka mausumbufu yao, kila mtu anadai kuwa yeye ndiye, na ndio maana nikauliza nitamtambuaje?
 
Huyu kupata anachohitaji itakua kazi sana mkuu!

Mie siwahitaji kwa sasa, nimechoka usumbufu na ndio maana nauliza tu, kutaka kujua kama nitamtambuaje? nashangazwa ma-great thinker hamjajibu swali
 
aliyetolewa kwenye ubavu ni Eva peke yake maana yeye na mumewe Adam hawakuzaliwa bali waliumbwa. Nyie ma-bongo flava mnaototolewa ni 'kalaghabaho!' lala na yeyote tu; kwani si ndivyo mnavyofanya na hakuna difference?
 
Back
Top Bottom