Nitajuaje gari inachemsha?

Kwaio itakua ni 1NZ hio sasa mkuu fanya mchakato huo wa kuangalia maji yanapotelea wapi kama yanapungua sana
Nikiangalia Chini hakuna Mahala Panavuja.
Zaidi zaidi, nikijaza mpaka Juu, na nikawa nakanyaga Mafuta ndiyo yatatoka Kiasi tu kupitia Juu ya Mfuniko, muda kidogo yanaacha.
 
Kwasababu ndani ya engine hua kuna joto mkuu sio kwamba yanaweza kua yanapotelea sehemu inayoonekana bali inawexa kua humo humo ndani ya engine kuna leakage ndo inafanya maji ya potee..mfano sasa hivi mimi nilikua napoteza maji kwenye cover la radiator maana lilipasuka kimtindo ila baada ya ku replace toka niweke coolant tangu mwezi wa 5 coolant ipo kwwnye level ile ile
 
Nimekupata Mkuu.

Hapa hapa Umeibua Jambo lingine. Naomba kujua
Uhusiano wa Coolant na na Maji ya Kwenye Radiator Upoje?
Maana Coolant ipo kwenye Gari vizuri tu, shida ni Maji ya kawaida yale ndiyo yanapotea.
Kingine kuna wadau hapo juu akiwemo JituMirabaMinne
Aliniambia kuwa gari ikichemsha huwa kuna signal yake kwenye Dashboard, ila sioni Signal yeyote mpaka hapa. Tafsiri yake ni kuwa haichemshi. Kwa maana hiyo concern yangu ndiyo nilitaka kujua kuwa haya Mambo inakuwaje Maji yanapungua na je mwisho wake utakuwaje?

Ahsnate saana kwa Ufafanuzi naanza kuelewa elewa.
 
Ubaya wa IST haina temperature gauge ile inayoonesha kwamba joto hapa sasa hivi mi kiasi gani kwaio kwaio kwa IST unapowasha kinawaka kile kitaa cha blue cha temperature hivyo hio hadi iwe red ndo utajua kwamba kuna tatizo ila magari mengine mshale ukicheza tuu kupanda juu ya nusu temperature unaweza kuona
 
Ahaaaa, Nimekuelewa Mkuu. Daah, Bonge Shule.
Nilikuwa najiuliza hiki Kitaa cha Blue Kazi yake nini?
Kuna muda kinawakaa, halafu baada ya Muda Kinapotea. Aisee, Shukrani saana. Ila kuwa Chekundu Sijawahi Kishuhudia.
 
Kikiwa chukundu hapo unakua umeshaungua vitu kwenye engine maana temperature inakua imeshakua juu kabisa
 
Mkuu nimefanikiwa Kutatua Tatizo, kumbe Shida ilikuwa Mfuniko wa Radiatora baada ya Kuweka mwingine sasa hivi Fureshi kabisa.
Ahsanteni kwa Ushiriki Wenu.
 
Back
Top Bottom