Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
The mistake is in the question. The repeatition of "the"
Jibu Sahihi kabisa...hahahahahah
Thubutuuu! Kama ni kupasuka kifua hiyo kazi nimemuachia Paw. Uzuri wake hanikimbizi kupita uwezo, he is a good coach.
Mie nimetoa tamko tu. Kwani nimeulizwa swali hapo? Lione kwanza, kichwa kama kona ya andazi
Ukishachorewa mstari basi usiuvuke.Acha hiyo "denial" mtoto utapasuka kifua bure.... funguka tu na upe moyo wako nafasi..
c.c Paw