Nitajiunga CCM Makonda akiwaita wanajeshi kama anavyowaita Mawaziri

Naapa nitajiunga CCM Makonda akiwa summon wanajeshi kama anavyowa summon Mawaziri na kuwatishia kuwachapa makofi. Nitampa kura ya Urais
Hivi amewahi kumpigia simu waziri nape na ameshaenda mkoa wa morogoro!?
 
Jeshi linakazi za ulinzi wa mipaka yetu, wapi mpaka wetu umetetereka?,
Jeshi halina huduma za moja kwa moja katika maendeleo ya wananchi, za kimsingi mfano afya, kilimo, ardhi N. K.
Mtoa mada anaakili mbovu.
Wewe ndiye una akiki mbovu. Samia alisemaje kuhusu uchaguzi wa 24/25? Wajitayarishe
 
Hivi yule mkuu wa mkoa fulani mimacho alipotangaza jeiwii watafanya usafi ,ke walifanya?
Uwe na kumubumbu. Samia aliwaambia wakae standby chaguzi zijazo. Muwe mnaweka kumbukumbu. Hivyo kuwa summoned na Makonda can not be ruled out
 
Never and can't happen, kila kitu kina mipaka yake, (limitation) kinachofanyika ni labda jeshi (kuombwa) kusaidia jambo fulani!
Wawe tayari chaguzi zijazo......alisema.Samia, therefore can he summoned by Makonda.
 
Majeshi yana wajibu mkubwa sana kwenye Taifa lolote duniani, sio tu kupigana
Mnahitaji elimu kubwa kuhusu hilo
Wajeda wana uwezo mwingi sana kuanzia vita mpaka uokoaji kama madhara yatatokea sehemu yoyote
Sasa awaite ili iweje
Wanaweza kuja kwenye maafa na mafuriko kama wataona kazi ni nzito kwa waokoaji wengine, hivyo watasaidia kuokoa

Mkuu wa M alilikosea sana jeshi hakuna wa kurudia ujinga tena
Stop that, wanajeshi wanaonea wananchi sana. Wanawapiga sana wananchi. He can summon them kama mwananchi akilalamika. Je anaweza?
 
Huu ni upumbavu, unapoongea ukweli ni bora kuliko kutetea uovu ,mipaka ya Tanzania ipo very porous, ndio maana human trafficking imeshamiri mno,drugs cartels na money laundering inatisha, usiogope kusema kisa ni jeshi,jeshi hawako malaika, wanajeshi wamejiingiza kwenye scandals za kuwapotezea respect, wamepiga raia pale kawe, mmoja aliamua kumpiga bus driver (,aliyekua aneshikilia roho za watu including watoto )
Nimeandika hapa chini. Asante sana. Wanaonea wanachi sana.Mwananchi anaweza kujitokeza Je, atam summon?
 
Jeshi linakazi za ulinzi wa mipaka yetu, wapi mpaka wetu umetetereka?,
Jeshi halina huduma za moja kwa moja katika maendeleo ya wananchi, za kimsingi mfano afya, kilimo, ardhi N. K.
Mtoa mada anaakili mbovu.
Nani anakudanganya......saa zingine.....
 
Naapa nitajiunga CCM Makonda akiwa summon wanajeshi kama anavyowa summon Mawaziri na kuwatishia kuwachapa makofi. Nitampa kura ya Urais
Wanajeshi siyo Watumishi wa Umma (Civil Servants), bali ni Walinzi wa Taifa. Kanuni nyingi za Utumishi wa Umma huwa haziwahusu. Wameapa kulinda Katiba, mipaka ya nchi na utii kwa Amiri Jeshi Mkuu.

Hivi amewahi kumpigia simu waziri nape na ameshaenda mkoa wa morogoro!?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Naapa nitajiunga CCM Makonda akiwa summon wanajeshi kama anavyowa summon Mawaziri na kuwatishia kuwachapa makofi. Nitampa kura ya Urais
Mbona mnaweweseka sana? yule jamaa kwa sasa ni Vice President asie rasmi! hana anaemuogopa zaidi ya Rais.
 
Hii tabia ya kusema JW watafanya usafi nasema IKOME MARA MOJA.
Yule aliyesema namtaka aombe RADHI na kwa kuridhaa yake mwenyewe amuombe CC amtumbue.
 
Back
Top Bottom