Jan-uary
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,050
- 1,144
Unaweza ukawa Mwanajeshi bila kuwa na kadi ya CCM inawezekana?Wanajeshi wataitwaje Kwenye Mikutano ya Siasa?
Punguza mbege za mchana [emoji209]
Unaweza ukawa Mwanajeshi bila kuwa na kadi ya CCM inawezekana?Wanajeshi wataitwaje Kwenye Mikutano ya Siasa?
Punguza mbege za mchana [emoji209]
Fine si mnasema anasaidia wanyonge. Wanajeshi wanaone a sana raia, wanawapiga sana na kuwafanyisha mateso ya mazoezi ya kijeshi.......awaite wananchi awataje awa summonWanajeshi siyo Watumishi wa Umma (Civil Servants), bali ni Walinzi wa Taifa. Kanuni nyingi za Utumishi wa Umma huwa haziwahusu. Wameapa kulinda Katiba, mipaka ya nchi na utii kwa Amiri Jeshi Mkuu.
Barikiwa mkuuYou have made my day. Hicho ndicho nilichotegemea . Wengi wameishia kunitukana. Umetoa jibu la sababu ya thread yangu. Unafikiri mbali sana.
Ahahahah.UvCcm wanaweza kuvalishwa Magwanda halafu akawaita na kuwanyuka makofi kaa ujue kuwa haya ni MAIGIZO ya CCM lengo ni KUWAHADAA Wananchi.
Mbona walifagilishwa barabara na wanasiasa mara nyingi?Jeshi linakazi za ulinzi wa mipaka yetu, wapi mpaka wetu umetetereka?,
Jeshi halina huduma za moja kwa moja katika maendeleo ya wananchi, za kimsingi mfano afya, kilimo, ardhi N. K.
Mtoa mada anaakili mbovu.
Wanajeshi gani ...!!? Hawa hawa haliamliwa na Chalamila kufagia barabara ...... Mbona Police kila siku Makonda anawaweka kiti moto kwenye umati. Tanzania ya CCM inawezekana kabisa.Naapa nitajiunga CCM Makonda akiwa summon wanajeshi kama anavyowa summon Mawaziri na kuwatishia kuwachapa makofi. Nitampa kura ya Urais
Wanajeshi ni mbwa tu mbele ya CCMNaapa nitajiunga CCM Makonda akiwa summon wanajeshi kama anavyowa summon Mawaziri na kuwatishia kuwachapa makofi. Nitampa kura ya Urais
Wanajeshi wanahusiana nini na utendaji mbovu wa baadhi ya viongozi wazembe wa serikali?Naapa nitajiunga CCM Makonda akiwa summon wanajeshi kama anavyowa summon Mawaziri na kuwatishia kuwachapa makofi. Nitampa kura ya Urais
Mawaziri ni wa CCM kwani aliyekuambia nani kua JWTZ ni la CCM?Naapa nitajiunga CCM Makonda akiwa summon wanajeshi kama anavyowa summon Mawaziri na kuwatishia kuwachapa makofi. Nitampa kura ya Urais