Nitajie sifa 5 za msichana kuwa mke

Nitajie sifa 5 za msichana kuwa mke

ni kero kuwa na mwanamke mwenye kujua dini? basi ni balaa mkubwa...
Wengine hatuna dini, sasa wewe huoni hiyo fanatism ya kufuata midini ya watu waliokua wakiishi mapangoni na kutawadha kwa kutumia mawe itakua kero kwetu? Kila mtu na matarajio yake bana, hakuna mke ambaye ni SI unit ambaye sifaze zitaeza kutumika ku-calibrate matarajio ya kila mme. Balaa ni kutoelewa hili.
 
Back
Top Bottom