Nitajie kampuni kubwa ya elektroniki ya zamani ambayo haitoki Japan

Bro umechanganya kenwood ya uk na japan ni kampuni mbili tofauti kabisa na waanzilishi wake ni tofauti.

Kwenye page ya wikipedia ya kenwood limited kwa juu wameainisha kuwa.
"Not to be confused with the Japan-based manufacturer of audio equipment, Kenwood Corporation"
Sijachanganya,mimi nimeiongelea Kenwood ya UK
Nimeandika Kenwood wala sijaandika Kenwood Cooperation.
 
Back
Top Bottom