Siemens ni kampuni kubwa sana hadi Leo, ina wafanya kazi takribani laki 4 na pato kama trilioni 200.Hapo Samsung na LG wanapambana mpaka leo hao wengine hivi bado wapo sokoni?
OG ni UK hiyo.Japan babu hiyo
Asee umenitoa tongo tongo mkuuUjerumani na Nchi za Scandinavia Pia wapo juu sana Kitechnology.
Huko ndio unapata makampuni kama haya..
1. Nokia na Ericson wakali wa network hasa 5G
2. Volkswagen, BMW na Daimler wakali wa magari
3. Siemens Train na Hospital
4. Kina Scania, Volvo, na hata konecrane magari makubwa etc.
1947 Kenneth wood set up a company,The Kenwood manufacturing company in his garage in the south of London UK,the company has passes through several owners since it's foundation.
Mkuu hapo labda Bosch tu lakini nyingine sizijui. Lakini mbona mjapan anauza dunia nzima? Hata online unakutana nazo?
Kabisa JAPENGA wameteka soko la electronics yaani makampuni yote yenye majina 90% ni wao.Hapo Mkorea anajitahidi sana na Samsung na LG lakini zote hapo ni toka JP
Kwani kutengeneza vifaa vya electronic ndo kuwa na akili zaidi?Kama kichwa kinavyosema,
Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?
Hivi vitu visikie tu mkuu, vinahitaji akili na uangalifu wa hali ya juu.Kwani kutengeneza vifaa vya electronic ndo kuwa na akili zaidi?
Grundig GermanKama kichwa kinavyosema,
Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?
Shida kuna nchi zina standard za ubora wa bidhaa zinazoingia kwao. So hata hao akina JVC panasonic Hitach kuna bidhaa wanatengeneza kwa ajilo ya Africa na Asia nyingine kwa ajilo ya Eu na America. So unaweza kutana nazo online lakini zisiingie baadhi ya nchi.Mkuu hapo labda Bosch tu lakini nyingine sizijui. Lakini mbona mjapan anauza dunia nzima? Hata online unakutana nazo?
Inategemea na mada. Kama ni magari yawezekana 1980's kurudi nyuma.Zamani inaanzia mwaka gani?
Pale Taifa la Tanzania lilipopata ufahamu...Zamani inaanzia mwaka gani?