Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika

Joined
Mar 3, 2018
Posts
75
Reaction score
800
"I will prepare ,and one Day my time will come" Abraham Lincoln.

"Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika"

Njia nzuri ya kuhakikisha ndoto yako inatimia ni kuendelea kujiandaa,ili itakapokuja ikukute uko tayari.

"USIACHE KUJIANDAA"
Wasalaam...[emoji1241][emoji122]
 
Uache ushamba kijana,tulikuamini unaacha udiwani unaenda kupewa kazi ya kuwa mwenyekiti wa kijiji? Ushamba wa ajabu huu
 
Salama Condom ikishatumika hutupwagwa chooni
 
Siku yako na muda wako sahihi na mahala sahihi kutoka kwa Mungu ulishafika ila shetan ameshaupora, umechagua njia ya shetan, ukaiacha Haki pole sana
 
Endeleea kuumwa na njaa na utendaji wa mtaa mpaka akili zikurudie
 
Usingeendekeza tamaa mwaka huu ulikua unaingia bungeni ila umekua lady pepeta
 
[emoji769]Unajiaanda kwenda mbinguni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…