Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika

Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika

Mtendaji wa mtaa katika ubora wako.
 
Kwisha habari yako,kalime tu.
Ulishafika bei.
 
Kwa hiyo ndo unajiandaa kugombea 2025 Magufuli akiwa hayupo😁😁
 
Kwamba ugombee Ubunge? thubutu yako,wewe ni zilipendwa na malipo ya usaliti na unafiki ni hapa hapa Duniani.
Shida kubwa ni kuwa anaogopa kueleza ukweli lakini binafsi namuonea huruma sana na hasa baada ya kukutana na wengine kama yeye na kuongea nao.SI JAMBO JEPESI hasa kwa kijana mdogo.Huyu mwanzoni alikuwa anatueleza jinsi baba yake alivyoitwa kwa DSO na dhahama nyingine nyingi lakini hatujui alikumbwa na nini mpaka akageuka wenziwe.Kuna mambo mawili makubwa ambayo naaamini yalimkuta,VITISHO na AHADI KUBWA.
Alikuwa njia panda,aamue kueleza yote kwa umma na akose yote au aunge mkono angalau aambulie kidogo,hakika ni njia panda.
Bado ni kijana na kuna nafasi ya toba katika maisha naamini kuna siku atatueleza na tutamuelewa na inawezekana tukamhurumia.Kila la heri Elia.
 
Sijawahi kuona toilet paper ikawa na thaman baada ya matumizi.
 
Hovyo kabisa,labda wakukumbuke kwa kukupa uteuzi.

Hatutaki wanasiasa njaa na wanafiki.
 
Back
Top Bottom