Nitaingia Mwanza muda si mrefu, who is there?

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Nitaingia Mwanza muda si mrefu. Nitakwepo hapo mpaka Jumatatu ya wiki ijayo, halafu Jumanne nitaelekea Musoma, nitarudi Mwanza kesho yake na kukimbia fast kurudi Dar.

Nataka kuonana na mtu maarufu kabisa wa Jf kutoka Mwanza.

Sifa za mtu ninayeweza kuonana naye

1. Awe mwanamke

2. Asiwe mke wa mtu, mke wa mtu - kaa mbali - yaani far away

3. Awe social - sio muda wote amenuna (awe na busara na hekima, tafadhali mambo ya jf weka mbali)

4. Awe amejiregister JF na mwanachama hai kwa muda usiopungua miaka 4.

Nimeanza ziara zangu zile za kuzunguka mikoa kadhaa kama ilivyo ada kila mwaka.
charminglady kama upo tayari, pick me up! Vinginevyo nafasi ipo wazi mpaka itakapojazwa.

NB: Kuonana na mie sio mwisho wa kutoa maoni (tena ikiwezekana yanayokukera haswaaa) wala uhuru wangu hapa jf, never ever, ikitokea kutokukubaliana au hata kuhasimiana humu kwa sababu ya tofauti zetu, mie hata kukupa za uso nakupa, I have done that and no one will stop me, life is mine. Who Cares?

Nia ya kukutana: Networking.


Simplicity.
 
ukifika tembelea pub ya shooters mida ya jioni kuna madada poa wa kumwaga.
 

Kwa nn wanawake tu tena ambao hawajaolewa??
 
ntumie nauli nije. nimetimiza miaka minne mie.
 

Karibu tunakusubiri
 

Attachments

  • 1410545001079.jpg
    16.2 KB · Views: 359

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…