Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Huyu jamaa nuts kichwani zimelegea kabisa imebaki nut moja tu...ni kituko...uraisi haugaiwi kwenye mitandao....halafu kuna mawili.hapa hii lugha umeandika ukiwa umelewa au ndo kingereza cha UPE
 
Go Kisandu go! Eti wanakupa umakamu wa rais ili kukunyamazisha wakati wamekutesa na kukunyanyasa non stop kwa miaka karibu ya 10? No way! Kazana mpaka 2020 uukwae urais.

Siku nikipita Mwanza ningependa kufika hapo Mkolani Secondary na ikiwezekana niongee na wanafunzi wako. Kuna vitu kadhaa nataka kuwauliza.

All the best mkuu!

Wizara ya elimu haina utaratibu wa kuangalia mental health ya walimu wake? Hii ni hatari sana kwa sababu walimu ndiyo waelimishaji wa taifa, warithishaji wa maarifa na wakombozi wetu. Sina uhakika kama hili linawafanyika huko Mkolani Secondary School!
 
Nawahurumia sana wanafunzi unaofundisha.
Kama bado ni mwalimu
 
m a Tanzanian and a Political Analysis apart of being a Teacher at Mkolani secondary school in Mwanza region
Hii dunia haki ya nani ina mataahira mengi,, sasa hili nalo nini hiki? Onyo'anokho!! Kwa Ki-English hiki tayari umeshafeli mtuhani wa urais,, unafikri tutarudia tena kuweka mtu ambaye ngeli haipandi?
 
Maajabu mengine haya
.wakati kuna MTU anawaza kuwa mfalme.labda uwe rais wa bodaboda.
 
Mbona chenga alafu hawa madogo sijui walipanda juu ya bati wakatingisha au kuna upepo mkali nje nin
 
Deo, stop using this language, you can't manage it bro..
FOR A TIME BEING I DO NOT WANT TO BE APPOINTED TO BE 2nd Vice President, I HAVE Said I WANT TO BE A President of Tanzania 2020.

My desire to Create New Government which have never seen before, to make Tanzania to be the Leading Nation on Potential Ideas to build strong government.

But I say thanks for consideration and God have a bless over those who think so. I, Deogratius Kisandu am a Tanzanian and a Political Analysis apart of being a Teacher at Mkolani secondary school in Mwanza region.

I Feel Shame if Not shy to try to please me after they have blocked my Economic and Detented me Psychologically.

God give me long live and bless Tanzania.

Deogratius N Kisandu
From Tanzania, East Africa.View attachment 490766
 
Back
Top Bottom