Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Yani huyu jamaa....halafu eti ni mwalimu sijui hao watoto wanaofundishwa na huyu jamaa wanapitia wakati gani maskini
 
Kuna vitu mtu hutakiwi kujiumiza kuviwaza maana chances za kuwa Rais ukipiga hesabu ni ndogo sana maana hadi sasa kwa miaka 60 watu watano tu washapata hiyo nafasi
 
kwani lazima wote tujue kama umelewa mkuu kisandu....
 
Rais wa machizi au watu gani ebu fafanua mkuu.maana post zako zaonyesha unakaa wodi ya mirembe
 
Dah.... Deo ndoto zako zinahitaji uishi miaka 300 hivi..... Uwaziri Mkuu wewe... Urais wewe..... Kumuoa bint Obama wewe. .....Khaa!!
 
Naishi kwa kufuata Katiba ya Nchi na maono aliyonipa Mungu na sio kunishinikiza kwa maslahi ya watu Fulani.



Nilikwisha sema Lazima "Nitakuja kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania" na sio kuishia kwenye Uwaziri Mkuu kama maadui zangu walivyopanga.

Next President by Jesus Name

Deogratius N Kisandu
First lady atakuwa nani?? maana umezaa kila kona ya tanzania..
 
Huyu jamaa ni nani hapa Tanzania. Nimeona maandiko yake humu ndani mengi lakini pia inaonekana si mzima kichwani.


Mimi ni Mwalimu hapa Tanzania na ni Mtanzania pekee ambaye NImeisaidia Tanzania na Afrika kwa ujumla.
 
Samahani ndugu yangu Deogratius kisandu, hivi unatumia bia/soda gani?
 
Naishi kwa kufuata Katiba ya Nchi na maono aliyonipa Mungu na sio kunishinikiza kwa maslahi ya watu Fulani.



Nilikwisha sema Lazima "Nitakuja kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania" na sio kuishia kwenye Uwaziri Mkuu kama maadui zangu walivyopanga.
Leo nimecheka eti Deogratius tunampa mke mtoto wa Rais wa Dunia hiyo inatosha, mnafikiri mke ndio suluhisho la Maono yangu, mmechemka.

I can, I will, I must be a President on 2020.

Next President by Jesus Name

Deogratius N Kisandu
ni ndoto za mchana... hata mimi nimewahi kuota ndoti mara nyingi niko kwenye baraza la mawaziri lakini sijawahi kua waziri hadi leo nimeshakua mzee. tofauti na kisandu mimi naota usiku.
 
Back
Top Bottom