Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,390
soda
.Samahani ndugu yangu Deogratius kisandu, hivi unatumia bia/soda gani?
.Samahani ndugu yangu Deogratius kisandu, hivi unatumia bia/soda gani?
We kisandu kweli wanetu wapo salama hapo unapofundisha?
Rais wa machizi au watu gani ebu fafanua mkuu.maana post zako zaonyesha unakaa wodi ya mirembe
Na muhimu sana ni kuangalia afya ya akili .Hilo linawezekana kabisa Mkuu lakini cha kwanza kabisa kabla ya kufikia lengo lako ni kuhakikisha afya yako iko sawa kuweza kumudu majukumu makubwa ya kuiongoza nchi yenye matatizo mengi sana. Kila la heri kwenye kupima afya yako Mkuu.
FOR A TIME BEING I DO NOT WANT TO BE APPOINTED TO BE 2nd Vice President, I HAVE Said I WANT TO BE A President of Tanzania 2020.
My desire to Create New Government which have never seen before, to make Tanzania to be the Leading Nation on Potential Ideas to build strong government.
I got gossip somewhere that there is a plan to be appointed as second Vice President of Tanzania, Since October 2012 I declared my desire to be A President of Tanzania through Mass media and Social Network media. I can not change my God plan by pleasing me to highest position. No No No, my Dream must Occur.
But I say thanks for consideration and God have a bless over those who think so. I, Deogratius Kisandu am a Tanzanian and a Political Analysis apart of being a Teacher at Mkolani secondary school in Mwanza region.
I Feel Shame if Not shy to try to please me after they have blocked my Economic and Detented me Psychologically.
God give me long live and bless Tanzania.
Deogratius N Kisandu
From Tanzania, East Africa.View attachment 490766