ndoto za mafanikio huanzia utotoni na ukubwani ni utekelezaji.SOMA HISTORIA YA YAKUBU GOWON wa NIGERIA " (kirefu cha jina GOWON ni ndoto yake ambayo alikuja itimiza na maana yake ni Go On With One Nigeria)"Naishi kwa kufuata Katiba ya Nchi na maono aliyonipa Mungu na sio kunishinikiza kwa maslahi ya watu Fulani.
Nilikwisha sema Lazima "Nitakuja kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania" na sio kuishia kwenye Uwaziri Mkuu kama maadui zangu walivyopanga.
Next President by Jesus Name
Deogratius N Kisandu
Naishi kwa kufuata Katiba ya Nchi na maono aliyonipa Mungu na sio kunishinikiza kwa maslahi ya watu Fulani.
Nilikwisha sema Lazima "Nitakuja kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania" na sio kuishia kwenye Uwaziri Mkuu kama maadui zangu walivyopanga.
Next President by Jesus Name
Deogratius N Kisandu
Kupitia usaili tungeepuka baadhi ya ambao hawana vigezo kwenda kutufundishia watoto wetu.
Kuna uzi katoka kuuandika, kiingereza kibovu mno mimi nikiwa darasa la sita nilikua siandiki vile na nimesoma Kayumba.
Hao waajiri wake waone tu mwajiriwa wao utumbo anaouandika.
imebidi nicheke tuuHuyu jamaa ni nani hapa Tanzania. Nimeona maandiko yake humu ndani mengi lakini pia inaonekana si mzima kichwani.
Bonyeza username yake halafu cheki uzi wake wa kumpongeza Zuma.Ningependa kuusoma uzi wa jamaa huyu aliyepata ukichaa
Nilikumiss sana Brother Deo, mzima? Harakati zinaendaje?Naishi kwa kufuata Katiba ya Nchi na maono aliyonipa Mungu na sio kunishinikiza kwa maslahi ya watu Fulani.
Nilikwisha sema Lazima "Nitakuja kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania" na sio kuishia kwenye Uwaziri Mkuu kama maadui zangu walivyopanga.
Next President by Jesus Name
Deogratius N Kisandu
tena wakati wa JUA LA UTOSIMatatizo ya kunywa viroba mchana kweupeee.😀😀
Umepima Afya ya Akili?Mimi ni mzima kabisa wa afya. Niko fit kila idara kiafya.

Comparing na anae run show sasa... Brother Deo ni healthier than himMbulu usilutee mambo ya shilawadu kwenye mambo siriasi kama haya. Unataka kusema wewe mwalimu wako wa Kingereza hakukufundisha maana ya "Frent fod"? Deogratius Kisandu ndiye mwanasiasa bora Tanzania na lazima awe rais wetu. Kwani kuna nini cha ajabu kwenye Urais wa nchi hii asicho nacho yeye Kisandu!!??
Nahisi haya maneno kuna mtu unamsemea...nimejaribu kukuelewa.Naishi kwa kufuata Katiba ya Nchi na maono aliyonipa Mungu na sio kunishinikiza kwa maslahi ya watu Fulani.
Nilikwisha sema Lazima "Nitakuja kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania" na sio kuishia kwenye Uwaziri Mkuu kama maadui zangu walivyopanga.
Next President by Jesus Name
Deogratius N Kisandu