Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Nilivoona tu heading nikajua ni wewe jamaa
 
Kupata vichekesho vingine vya namna hii tuma neno BASHITE kwenda 15584, Vodacom kazi ni kwako!
 
Kupitia usaili tungeepuka baadhi ya ambao hawana vigezo kwenda kutufundishia watoto wetu.

Kuna uzi katoka kuuandika, kiingereza kibovu mno mimi nikiwa darasa la sita nilikua siandiki vile na nimesoma Kayumba.

Hao waajiri wake waone tu mwajiriwa wao utumbo anaouandika.
ec19ad375a7050b160734cd27f9a3764.jpg
 
Heeeheee, Huyu Boss Deogratius Kisandu uwa ananichekeshaga na kunifurahisha sana. Inaonekana sometimes anakuwaga kwenye Ulimwengu wake peke yake. Ila sio mbaya Binadamu kuwa na Ndoto.

Naishi kwa kufuata Katiba ya Nchi na maono aliyonipa Mungu na sio kunishinikiza kwa maslahi ya watu Fulani.



Nilikwisha sema Lazima "Nitakuja kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania" na sio kuishia kwenye Uwaziri Mkuu kama maadui zangu walivyopanga.

Next President by Jesus Name

Deogratius N Kisandu
 
Sawa.Lakini inategemea unamaanisha uwaziri mkuu na uraisi wa nini.Kuna uwaziri mkuu wa vyuo na ujinga mwingine.Pia kuna urais wa vyuo,TLS,nk.
Na huu wa nchi.
Hata hivyo hongera kwa ndoto za kuburudisha.
 
Rais wa manzense toka amejichagua mpaka leo anahudumu ikuru ya manzese tuambie utakuwa rais wa ...tenga aliwahi kuwa rais, jamal malinzi rais na wewe unataka umeshauliwa ukapime urefu na uzito.
 
Ulivyokuwa sisiem walikupiga unga wa Mwakyembe ukaharibu ubongo ndio maana unawayawaya. Pata matibabu kwanza

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa chama cha waendesha baiskeli ama Rais wa chama cha waganga wa kienyeji wote hao marais.
 
Kwa kumpongeza mtu kama Zuma na kukubaliana na yanaoendelea hapa nchini enzi hizo hutapata kitu. Enzi za watu kama hao unaowasifia zinaishia hawa waliopo. Kwa hiyo nadhani ushachelewa, mwambie mkuu akukumbuke tu sasa angalau ukuu wa wilaya
 
Umeanza tena mchezo wa kutokunywa dawa zako. Shauri yako huu ugonjwa ukikomaa utaanza kula majalalani.
 
Back
Top Bottom