Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Deo ukichanganya kachumbari na viaz unapata bada safi sana ugali wa muhogo na tende. Go go kisandu deo original maadui
 
Weka vyeti mezani maadui zako watakuangusha na la vyeti form iv division na majina

Kuna wameuwaza uwaziri mkuu vyeti vimekuwa mlima Kilimanjaro haioni ndani kuuendea ubunge na uwaziri mkuu
 
Naishi kwa kufuata Katiba ya Nchi na maono aliyonipa Mungu na sio kunishinikiza kwa maslahi ya watu Fulani.

Nilikwisha sema Lazima "Nitakuja kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania" na sio kuishia kwenye Uwaziri Mkuu kama maadui zangu walivyopanga.

Next President by Jesus Name

Deogratius N Kisandu
hii kitu iende jukwaa la vichekesho tafadhali...pia ninashauri lianzishwe jukwaa la walevi
 
Sawa Mkuu lakini hakuna ubaya kupata uhakika wa kupitia vipimo.
Mkuu,
Ushauri wako ni muhimu sana tukauziangatia, walau tupime afya zetu kila mwaka.

Na tusijipige vifua vyetu kuwa tu wazima kwa vile tulipewa hati safi ya vipimo vya afya miaka mitano iliyopita.
 
Kwani mkuu mwalimu mmoja akiwa kilaza inamaana wengine Vilaza!
Kupitia usaili tungeepuka baadhi ya ambao hawana vigezo kwenda kutufundishia watoto wetu.

Kuna uzi katoka kuuandika, kiingereza kibovu mno mimi nikiwa darasa la sita nilikua siandiki vile na nimesoma Kayumba.

Hao waajiri wake waone tu mwajiriwa wao utumbo anaouandika.
 
Hahaha ngoja nikauone
 
Ni muhimu sana Mkuu

Mkuu,
Ushauri wako ni muhimu sana tukauziangatia, walau tupime afya zetu kila mwaka.

Na tusijipige vifua vyetu kuwa tu wazima kwa vile tulipewa hati safi ya vipimo vya afya miaka mitano iliyopita.
 
nafikiri ni irony...kamaanisha kitu tofaut ila cjui ni kwa minajili gan... mtuache na chaguo la mioyo yetu na rais wa ndoto zetu...
 
Back
Top Bottom