Nitagombea Urais 2015 Kupitia CUF

Nitagombea Urais 2015 Kupitia CUF

Lazima ushinde wewe....avatar yako imekaa kiliberali saana!
 
huu urais diku hizi.. lkn yote haya n baada ya kikwete
 
Jitahidi unaweza kupata nafasi.Lakini pi ningekushauri usitumie majina ya babu zetu kama sisi wengine.Tumia jina lako la serikali ili tukujue vizuri
 
Wanajamvi nimeona nitangaze nia yangu mapema ya kugombea urais 2015 kupitia CUF.Nitamwomba Mh.Prof. I.H.Lipumba aniunge mkono. Nina dhamira ya kweli na nia ya kuwatumikia watanzania kupitia chama changu cha CUF. Naomba mniunge mkono...!
Ha ha naona mtatiro sasa umeamua upime maji na avtar ya gizani ...toka huko wewe kampeni utapigaje wakati wewe unasali juma pili ama jumamosi.......
 
Kila la heri! I hope Lipumba atakupa nafasi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
CUF hakuna siasa tena tokea walivyofunga ndoa na magamba, sasa wao kila wanachoongea wabunge wa magamba cuf inaunga mkono hoja.
 
Kama huwezi hata kutumia jina lako halisi humu JF sidhani kama una ushupavu wa kusimama kugombea Urais. labda kama uanatakugombea Urais wa CUF na siyo wa Tanzania. Urais siyo u-class monitor au Head Boy wa shule!!

Yaani umeniwahi. Huyu ni msanii, na anaanza utapeli wa kisiasa. Ikiwa kama mtu anaogopa hata kutumia jina lake halisi, na bado anataka kuongoza taasisi nyeti ya umma, huyo ni janga.
Huyu jamaa ni head teacher wa shule ya vidudu au kituo cha kurudia mitahani ya taifa.Bora mimi natumia jina la ukoo.
 
Ha ha naona mtatiro sasa umeamua upime maji na avtar ya gizani ...toka huko wewe kampeni utapigaje wakati wewe unasali juma pili ama jumamosi.......
tatizo lenu mnaosa;li jumapili mnazani hii nchi ya kwenu pekeyenu. sasa nakwambia mkichukua hii nchi siku hiyo ndo tz hapatawalika
 
Picha inaongea, angalia kwenye avatar ya mleta mada anabaka, kumuunga mkono ni kuhalalisha ubakaji.

lakini sawa tu ndo tabia zao maliberali. kila kitu nu haki sawa hata kubaka.
 
Pole kijana, labda uombe dua Mola amchukue kwanza profesa Ibrahim lipumba, other ways kabla hujatangaza nia jihadhari na vitu vyenye ncha kali. couse CUF ni wale wale
 
Back
Top Bottom