Hapa hakuna cha elimu wala GPA, mgombea ni Prof. mapumba lamda subiri aitwe na allah ndio nafasi iwe wazi.
Wanajamvi nimeona nitangaze nia yangu mapema ya kugombea urais 2015 kupitia CUF.Nitamwomba Mh.Prof. I.H.Lipumba aniunge mkono. Nina dhamira ya kweli na nia ya kuwatumikia watanzania kupitia chama changu cha CUF. Naomba mniunge mkono...!

Nitakuwa na miaka 40 kamili mwaka 2015, elimu yangu ni digrii GPA ni 3.7 upper second
Wanajamvi nimeona nitangaze nia yangu mapema ya kugombea urais 2015 kupitia CUF.Nitamwomba Mh.Prof. I.H.Lipumba aniunge mkono. Nina dhamira ya kweli na nia ya kuwatumikia watanzania kupitia chama changu cha CUF. Naomba mniunge mkono...!
Aha ha ha haasiasa haikufai nenda kaombe u TA high learning institution ndiyo maeneo ya watu wenye GPA kama ya kwako. Siasa ni wale failure wa ngazi mbalimbali za elimu, ukiendelea shauri yako utaishia kuimba haki kama mwenyekiti wako au wimbo wa ufisadi kama slaa na kuonekana kama kituko kwa watoto na wasiokuwa na uwezo wa kufikiri.
Aha ha ha haa
Poa mkuu, nimekufikia nimekusikia. TE TE TEHunacheka, utanikumbuka pindi yatakapokukuta.
Pouwaa Rajasili. Lazima na sisi ambao hatujafika mbali kutoka umri wa ujana tupambane na hawa wazee kwa vitendo.Ucjali Siku Zote Lazima Ujiamin,usikatshwe Tamaa,weka Nia,jiamin,utashnda Tu,