Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 423
aiseeee babayangu prof pumba atazaa na mtu hapa,,unadhani yeye hataki kwenda ikulu kumtembelea dr slaa ataposhinda urais 2015
Asante kwa ushauri Idimi, nitafanya hivyo
Thanks...Hongera kwa kujitokeza mapema
Sawa lakini acha mimi niungane na makamanda wa CUF, ila vita yetu ni moja; ni kushinda udhalimu,ukandamizaji, ufisadi, na ugaidi.Jiunge na makamanda wa M4C achana na ndoto za urais kwa kuwa Prof ni mgombea wa urais wa maisha. Nchi hii unaweza kutumikia wananchi bila kuwa rais.
Hata hivyo ni haki yako ya kikatiba kutangaza nia ya kugombea.
ndiyo tatizo la kuvamia bila kuuliza, kijana hajui kwamba CUF imeshabinafishwaga longi tu, watu wana post zao za kudumu.FUSO; Mwambie huyo au hajui kwamba Prof.Lipumba ni mgombea wa kudumu kwa tiketi ya CUF?
Sidhanindiyo tatizo la kuvamia bila kuuliza, kijana hajui kwamba CUF imeshabinafishwaga longi tu, watu wana post zao za kudumu.
Asante kwa ushauri Idimi, nitafanya hivyo
......................................Umepata experience toka kwa Prof.Safari?
Hongera kwa kujitokeza mapema
Msinihukumu kwa historiaKwa kujitokeza mapema au kijitoa mapema?
Yatamkuta ya Prof Safari huyu!
Wanajamvi nimeona nitangaze nia yangu mapema ya kugombea urais 2015 kupitia CUF.Nitamwomba Mh.Prof. I.H.Lipumba aniunge mkono. Nina dhamira ya kweli na nia ya kuwatumikia watanzania kupitia chama changu cha CUF. Naomba mniunge mkono...!
No, sio Profesa. Siamini kuwa Profesa ndo uwezo wa kuongoza.Kwani na wewe ni FULLBRIGHT VISITING PROFESSOR?
No, sio Profesa. Siamini kuwa Profesa ndo uwezo wa kuongoza.
Wanajamvi nimeona nitangaze nia yangu mapema ya kugombea urais 2015 kupitia CUF.Nitamwomba Mh.Prof. I.H.Lipumba aniunge mkono. Nina dhamira ya kweli na nia ya kuwatumikia watanzania kupitia chama changu cha CUF. Naomba mniunge mkono...!
Sawa lakini acha mimi niungane na makamanda wa CUF, ila vita yetu ni moja; ni kushinda udhalimu,ukandamizaji, ufisadi, na ugaidi.
Sawa lakini acha mimi niungane na makamanda wa CUF, ila vita yetu ni moja; ni kushinda udhalimu,ukandamizaji, ufisadi, na ugaidi.
kkkt.....unaswali msikiti gani?