Je, na umekuwa ukiipuzia taa ya tahadhali kwenye gari yako?

Apr 23, 2019
17
25
JE? WEWE NI MIONGONI MWA WANAOZIPUUZA TAA YOYOTE YA TAHADHALI KWENYE GARI YAKO.
✓Taa ya tahadhali Ni aina ya taa inayowaka katika gari yako inayotumika kukupa taarifa ufanyaji kazi usiokiwa wa kawaida(mbaya) katika gari yako mapema ili uweze kuchukua hatua. Mfano wa taa hizo Ni Kama taa ya check engine, abs, air bag na kadhalika.

✓FAIDA YA KUITAMBUA TAA YA TAHADHALI NA KUICHUKULIA HATUA.
*Husaidia kupunguza gharama sisozo za razima kutumia pesa kwa ajili ya matengenezo.

*Kuifanya gari kuwa imara na kuishi miaka mingi bila kuharibika, pia unaepikana na msongo wa mawazo.

✓HASARA YA KUZIZALAU HIZI TAA ZA TAHADHALI
*Gari kupata matatizo madogo madogo na baadae kuwa makubwa

*Kuingia kwenye gharama zisizo za lazima, na pia hata kupata ajali iliyosababishwa na kufeli kwa mfumo wa Umeme

Cont:0788-032488 0659-717838
Wasiliama nami kama gari yako inashida yoyote ya umeme katika gari yako, nitakufuata popote ulipopata tatizo hilo.

#shebby Umeme
#shebby Magari
#Shebby Mwembe
vehicle-warning-lights.jpg
 
Back
Top Bottom