Usimung'unye maneno bana hutapata majibu
Ya maswali yako ..
kwenu ndo mna-define hivi???
Nimeamini mpunga sehemu zingine ni uwele
ila zote ni nafaka
hii ni hali ya kupenda nyama choma, bia na karanga kuliko s.e.x
na combination hii huwa na nguvu kuliko ile inayoishikilia dunia kwenye mhimili wake
majibu ya maswali mengine ni haji ujiconvince mwenyewe ndo utaelewa
kama abstract mathematics
ukiambiwa kinyume cha 2 ni 0, usiruke
uliza ni Z module gani?
Lakini haya si maswali magumu ya kuumiza kichwa ..
Wewe ni mwanamke au mwanaume?
hahaha but u hv to do two things early in the morning;
1. Play to god so that you cn survive.
2. Take bath so that others cn survive too.
njoo tuoneshane, ya nini kuandikia mate na wino upo
🙂 🙂 🙂
Mimi mzima AD, asante. Nilimumunya kwa sababu kwa sababu nilikuwa ninafikiri Kongosho ni SHE, kwa hivyo mshangao ukanifanya sijui nianzie wapi kuliuliza bila ya kumkwaza. Nashukuru kuwa uliuliza ile lilikuwa katika mawazo yangu na tayari ametupa jibu (ingawa bado kichwani mwangu haijaingia hiyo ya TRI).Mi sijambo.
We mzima?
Usimung'unye maneno bana hutapata majibu
Ya maswali yako ..
Seriously are you uncomfortable about your sexuality that much ..?
niko too confotabo
ndo maana nataka kuonesha
U don't need to prove anything ..
Sema tu tutakuamini .. kama. Unaona haya
Niambie. Kwenye PM..
nione haya mie?
Kuna taarifa haziandikwi PM
ni hapa hapa live on stage
Okay weka au sema basi kama wewe ni mwanamke au mwanaume .. au una zote mbili ..
Mi ni Tailor...Nadhani ajizi zangu sina,haja ya kukupa maelezo mengi...
Mamdenyi, Mamdenyi, Mamdenyi! Hebu soma mistari miwili mitatu ya Bible kwanza ili ukiingia JF ujisikie na amani zaidi.Nitasoma bible baadae naingia jf kwanza.
Usione watu wapo kimya! tupo tunasubiria jibu kwa hamu mbhaaya!! mbane hivyo hivyo mpk ataje!!
MAPROSOO.
Usione watu wapo kimya! tupo tunasubiria jibu kwa hamu mbhaaya!! mbane hivyo hivyo mpk ataje!!
MAPROSOO.