Gari lipi linatumia mafuta vizuri zaidi kati ya Carina Ti vs Carina Si?

Madewa

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
465
168
Hello wataalamu wa magari na wazoefu wa Carina, ipi inatumia mafuta vizuri zaidi...binafsi nina uzoefu na Carina Si, 7A engine, cc 1762, hii gari inatembea wastani wa 15km kwa Lita 1, naomba mwenye uzoefu na Carina Ti anipe uzoefu wake.
Aksante sana
 
Nisubiri kidogo naenda kiwandani Tokyo nikaulize.
 
Si ina 1.8L, horsepower 115
Ti ina 1.5L, horsepower 100

Si ina 1.8L, horsepower 115
Ti ina 1.5L, horsepower 100

Fuel consumption ikoje kwa Carina Ti?
Nahitaji practical experience
 
Fuel consumption ikoje kwa Carina Ti?
Nahitaji practical experience
Average 14-15 kpl. Ila highway inaenda hadi 20kpl.

Mkuu wewe 15kpl kwa Si unapata ni average, highway au town?

Shida ya consumption ina vitu vingi vya kutegemea mfano uendeshaji, speed, mzigo, service history, terrain, tairi upepo, size ya tairi, etc.
 
Aksante sana...hiyo 15km ni highway...nilibadili thermostat, nikafunga mpya, gari inawasha taa ya kijani kwe dashboard ya ECONO...kutegemeana na ukanyagaji wa mafuta na speed... inatumia mafuta vizuri sana tofauti na mwanzo...
 
15kph highway duh we jamaa una mguu mzito sana badirisha uendeshaji wako. Hiyo ni utumiaji wa gari la cc 2500 highway (uwa napata 15kph na cc 2500 mjerumani 6 cylinders ila highway)
 
Screenshot_20230502-213649.png
 
15kph highway duh we jamaa una mguu mzito sana badirisha uendeshaji wako. Hiyo ni utumiaji wa gari la cc 2500 highway (uwa napata 15kph na cc 2500 mjerumani 6 cylinders ila highway)
Huwa nacheza 80kmh mpaka 100kmh, nimetembea jana 180km kwa lita 10 (wese la 30k) ndo mana nikatamani kujua hali ikoje kwa Carina Ti?
 
Back
Top Bottom