Nissan march au mazida demio inahitajika

Nissan march au mazida demio inahitajika

Hivi zile za Lukosi mbona naona pamoja na ushuru bei imepoa sana.
Au kuna tatizo?
Hazina tatizo ila sababu ni sisi watanzania tumezoea kuendesha vibakuli tunaogopa madungu jeshi yanakula mafuta
 
Kwa kigezo cha kipato, ondoa juke kwenye list yako!

Juke imezidi bei magari mengi tu yenye mwonekano mzuri..
Jamaa ametuchukulia poa sana wamiliki wa juke. Niliuza tako la nyani nikaagiza juke tokea Japan mpaka inafika nimechoma 24mil. Na sijawahi jutia, inanisaidia kwa route zangu za kazini to nyumbani na misele midogo midogo mafuta inanusa tu.
 
Back
Top Bottom