Subaru_wrx
Member
- Mar 14, 2018
- 12
- 2
Nimemaliza form 6 2015 kwa faulu mzuri tu kwenda chuo. Sema wazazi wangu wakanishauri nisiende kusoma hiyo kozi ya banking and finance sio nzuri katika kuomba transfer wakanichagulia kozi nyingine but ilikuwa ya science mimi nimemaliza commercial arts.
So nikaanza diploma Latina kumalizia mwaka wa mwisho nikapata training on Agriculture Indonesia ya 6 month so sikumaliza diploma yangu sasa nikarudi Tanzania nilivyo kuwa kule nikaweza kupata scholarship wakaniambia watanipa next ambayo ndo mwaka huu 2018 .
Na nimeshaanza masomo yangu hapa Tanzania ya bachelor 3 yrs so naomba ushauri wenu nichukue hiyo scholarship ya Indonesia ya bachelor 4yrs au ni baki tu Tanzania maana nimaliza nao mwaka huu ndo wana graduated.
Kama mdogo wenu kaka zangu na dada zangu naombe ushauri wenu?