Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,366
- 4,554
Sijasoma lugha zote, ila kwa C language kuna mdau kavitaja hapoVITABU Vipi ni vizuri kwa hizo lugha
Sijasoma lugha zote, ila kwa C language kuna mdau kavitaja hapoVITABU Vipi ni vizuri kwa hizo lugha
Nakushauri anza mapema MkuuMwaka huu huu au mwanzoni mwaka kesho ntaanza mkuu nataka angalau hata kidogo tu nijifunze hii kitu
Programming ya kwenye IT mbona rahisi sana, kwanza ile ni basic tu tena inaeleweka vyema. Unasoma C, C++ na Object oriented programming.Hayo madubwana ya if else, else if, end if...nested if...while sijui nini, asee programming ni kama forex tu. Its not for everyone. Muhuni nilikuwa naona nyota tu ila nashukuru shule iliisha.
Nina passion na IT ila tulipofikia hapo nilipiga chafya. Programming inataka moyo maana unaeza usielewe chochote mwanzoni. Nadhani nahitaji mwalimu mzuri ambae tutakaa meza moja anipe concepts na jinsi zinavyo apply kwa kila event unayotaka kui implement twende taratibu sana ili nielewe.
Programming ya kwenye IT mbona rahisi sana, kwanza ile ni basic tu tena inaeleweka vyema. Unasoma C, C++ na Object oriented programming.
Karibu kila mahali zinafanana hizo language, Statements ni zilezile tu.
IT imeelemea kwenye networking na hata programming kidogo utakayojifunza inatumika kwenye networking. Hizo language kwenye IT ukisoma mambo ya server side web programming(PHP) yapo humo ndani. Ukiandika website sehemu ya PHP kuna korokoro za programming.
Effects za kwenye websites kama vile automatic slide shows, lazima uandike Javascript, nayo vitu vilevile ulivyosoma kwenye basic programming unakutana navyo.
Kasome Computer science yenyewe si branch yake(IT), ndipo utakutana na programming yenyewe. Code kuzishika zote unaweza ukawa mwehu.
Nakushauri anza mapema Mkuu
Kote programming huikimbii,Hivi Computer Science na Computer Engineering ipi unasoma Programming halisi n tofauti ya hizi kozi mbili ni nini?
Nitumie whatsappNna pdf imecover website designing, kama unahitaji ni post
Mkuu na mimi nimekuomba huko pm nitumie hiyo pdf kwa whatsap.Nna pdf imecover website designing, kama unahitaji ni post
Boss karibuHeko kwenu wadau wa CODING.
Nimekuwa nikitafakari mambo yajayo kuhusu maisha nikabaini kuwa lazima niwe na utaalamu au ujuzi kuhusu coding(programming).
Kwa kuwa sijawahi kuisoma elimu hii, ninaomba kwa moyo mweupe wale wadau na wajuzi wa mambo haya, waniwekee hapa vitabu vya kusoma kuhusu coding, tafadhali wekeni vitabu vya kuanzia yaani vitabu vyenye basics of coding na mengineyo.
Hakuna jinsi naweza kukwepa kusoma coding.
Karibuni wadau.
.
.Mm mwenyewe nimeanzaaa kujifunzaa python..... Taratibu tu na kitabu kinaa page 500+... Sijui lini nitakimalizaa ilaa sikati tamaaaBoss karibu![]()
.
ILA UMECHAGUA NJIA YA ULEVI BORA ATA MADAWA YA KULEVYA NI NAFUU.
Utaumia wewee mpaka utaikumbuka hii comment.
Vitab n vigum boss.
Jieleze uko api.tafta mtu alie vizuri katka eneo ulipo akupe mkanda mzima uchague njia nzur.
Humu utachanganyikiwa! Kwann labda. Coz code bwana kila mtu atakupa ushaur kulingana na anavyo penda yeye na analionaje soko zur kwa upande wake.
Then pitia ivo vi website walivo kushaur wadau utajifunza mengi.
Ila jiandae safar ya miaka maana raha ya kukodi kila ukijua kitu unatamani uongeze tu![]()
.
Tafta kitu kinaitwa html anza na hiko kisome mengine yote yatakufata na utayajua tu mbele ya safar.
Lakini kama una idea kidgo na code JIFUNZE GENERAL PURPOSE LANGUAGE kama DART
Hii inafanya kila kitu utakacho kitaka kuanzia web desktop android ios na mazaga kibaaao.
Karibu buraza kwenye ulimwengu wa mateja wanao ondesha dunia
Nisikutishe kukodi ni simple.
Duh. Jitahid lkn utafika tu.Mm mwenyewe nimeanzaaa kujifunzaa python..... Taratibu tu na kitabu kinaa page 500+... Sijui lini nitakimalizaa ilaa sikati tamaaa
Mkuu nadhani hukuelewa swali langu mi nilitaka tofauti iliyopo kati ya hizi kozi mbili na ipi ni kubwa zaidi ya nyenzieKote programming huikimbii,
Computer engineering ni muunganiko wa Computer science and electrical engineering.
Nadhani hadi hapo utaweza kuzitofautisha
Ndugu kunaa njiaa yoyoteee unawezaa kunisaidiaaa kuzipataa...Duh. Jitahid lkn utafika tu.
Ila ungekuwa karbu na mm ngekupa video za python.
Uajifunza leo mpaka kufikia kesho we ni mtaalam wa python.
Python ni simple language but powerfull. Ni ya kusoma siku moja tu.
Then kinachofuata una practise kama one .month syntax zikikukaa vizur unaanza kulearn intermediate way.
Apo unakula lib mpaka ukome, unakula GUI mpka ukome, unakula algorithm mpka ukome.
Now u good 2 go to advanced python. Huku nako n shidar tu.
Computer programming language ni:
1-C Language
2-C++
3-Objective C
4-Java
5-Javascript
6-Rubi
7-Python
Nakushauri anza na namba moja, uanze basics zake zote kisha uimalize yenyewe. Ukiweza kuimudu hizo nyingine utajifunza kirahisi
Naona mfumo wa chuo umekuharibu, full kukariri. Mimi ni mkulima na nilijifunza mwenyewe programming bila kwenda chuo!!Anza basic ya C programming kwanza
Atachaguaje wakati hajui kitu?Lazma achague yeye akiambiwa atakua na uvivu...
Hakuna asuyejua kitu...kama kashaweka lengo nintayari anajua vingi na hata zaidi ya vilivyokwenye vitabu...anacoitaji ni yy kuchagua ni nn kitampa mwanga...Atachaguaje wakati hajui kitu?
Nna pdf imecover website designing, kama unahitaji ni post
aisee....Computer engineering ni muunganiko wa Computer science and electrical engineering.