Nisome vitabu gani vya coding? Nahitaji kujifunza kuhusu coding.

Nisome vitabu gani vya coding? Nahitaji kujifunza kuhusu coding.

pia mimi ningekushauri kuwa ungepata kujua fundamental concepts za language yoyote dunian kwa mfano Variable,arrays , control statement , syntax rules ,pia element of object programming language kwa mfano polymorphism,abstraction,inhertence , encapsulation na zingine
 
Ingia Google tuu. Vitabu vinakatisha tamaa. Ila google itakupa kitu specific unachokita at a time. Ila kitabu kina mambo hadi ambayo huyahitaji
ila kusema kwel ukisoma kitabu unajua mambo mengi alaf unafanya vitu kwa kufuata mtiririko
 
pia mimi ningekushauri kuwa ungepata kujua fundamental concepts za language yoyote dunian kwa mfano Variable,arrays , control statement , syntax rules ,pia element of object programming language kwa mfano polymorphism,abstraction,inhertence , encapsulation na zingine
Hayo madubwana ya if else, else if, end if...nested if...while sijui nini, asee programming ni kama forex tu. Its not for everyone. Muhuni nilikuwa naona nyota tu ila nashukuru shule iliisha.
Nina passion na IT ila tulipofikia hapo nilipiga chafya. Programming inataka moyo maana unaeza usielewe chochote mwanzoni. Nadhani nahitaji mwalimu mzuri ambae tutakaa meza moja anipe concepts na jinsi zinavyo apply kwa kila event unayotaka kui implement twende taratibu sana ili nielewe.
 
Programming nakushauri anza kwa kusoma programming language achana kwanza scripting kama javascript.

Lugha nzuri ya kuanza ni C/C++, vitabu ambavyo ningekurecommend kuanza navyo ni vile Paul Daitel & Harvey Daite
amcho kinaitwa C How to Program. With an Introduction to C++
View attachment 884821
Ukikielewa hiko kitabu na ukafanya maswali ambayo yapo humo languages zingine kama javascript, java, php unateleza.

programming inahitaji uwe na commitment kuimaster.
sawa mkuu nitakomaa nacho hadi kieleweke tu maana nimeamua niwe na ujuzi wa programming haijalishi ni kwa miaka 3 au 4 ama zaidi.
 
Computer programming language ni:

1-C Language
2-C++
3-Objective C
4-Java
5-Javascript
6-Rubi
7-Python

Nakushauri anza na namba moja, uanze basics zake zote kisha uimalize yenyewe. Ukiweza kuimudu hizo nyingine utajifunza kirahisi
asante mkuu nitakomaa nazo tu maana hakuna namna naweza kuepuka kusoma programming /coding, lazima tu niisome
 
Hata mimi hii fani huwa natamani sana kuijua ila kwa sasa nimeshajaa uvivu sana wa kusoma kwa maana ya shule sijui kwa nini
tunatofautiana mkuu, mimi nina ari ya kusoma sana tu, hii nitaisoma bila kwenda chuo chochote maana nimedhamiria kuifahamu(nina mapenzi na mambo haya).
 
nitajie lugha zote kisha nitazifuatilia na kuchagua moja itakayonipendeza zaidi.
ugha ziko zaidi ya mia 500 ila ukijua basics za programming utaweza kujifunza kwa urahisi na labda nikueleze kitu sio lazima ujue lugha nyingi unaweza kujua 2 au 3 au hata moja na ikawa inatosha
 
Hayo madubwana ya if else, else if, end if...nested if...while sijui nini, asee programming ni kama forex tu. Its not for everyone. Muhuni nilikuwa naona nyota tu ila nashukuru shule iliisha.
Nina passion na IT ila tulipofikia hapo nilipiga chafya. Programming inataka moyo maana unaeza usielewe chochote mwanzoni. Nadhani nahitaji mwalimu mzuri ambae tutakaa meza moja anipe concepts na jinsi zinavyo apply kwa kila event unayotaka kui implement twende taratibu sana ili nielewe.
programming inavitu vichache sana vya muhimu ambavyo ni msingi wa language zote ni kama grama kwenye English language ila sasa tatizo lipo kuziunganisha izo grama kupata sentence sahihi ndo shida ivyo ivyo kweny programming kuunganisha izo else if ,break,continue,loop,na keyword zake hapo ndo panaleta shida sana kwa programmer wengi
 
ugha ziko zaidi ya mia 500 ila ukijua basics za programming utaweza kujifunza kwa urahisi na labda nikueleze kitu sio lazima ujue lugha nyingi unaweza kujua 2 au 3 au hata moja na ikawa inatosha
kweli kabisa ndo maana ata java ina library zake mbalimbali kwa mfano library ya network , graphics , string handle cha msingi ww jua basic ya programming basi ayo mengine utarifaa pale yanapoitajika
 
Back
Top Bottom