Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,602
Heko kwenu wadau wa CODING.
Nimekuwa nikitafakari mambo yajayo kuhusu maisha nikabaini kuwa lazima niwe na utaalamu au ujuzi kuhusu coding(programming).
Kwa kuwa sijawahi kuisoma elimu hii, ninaomba kwa moyo mweupe wale wadau na wajuzi wa mambo haya, waniwekee hapa vitabu vya kusoma kuhusu coding, tafadhali wekeni vitabu vya kuanzia yaani vitabu vyenye basics of coding na mengineyo.
Hakuna jinsi naweza kukwepa kusoma coding.
Karibuni wadau.