Nisome nini chuoni mwaka huu 2025?

Nisome nini chuoni mwaka huu 2025?

Hongera kufanikiwa kuhitimu Kidato cha Sita.

Nafahamu haikuwa safari nyepesi hasa Kwa Shule uliyosoma na matokeo unayotarajia kuyapata.

Nami pia nilipita hiyo Shule unayosema, japo ni miaka mingi iliyopita.

Naomba nikushauri tofauti kama ikikupendeza.

Tafuta passport kabla ya Mwezi July uwe umepata, then anza kuomba Vyuo vya Nje iwapo utakuwa na ufauru mzuri

Nenda kasome fani za Uhandisi iwe ni Civil engineering, ama Uhandisi wa Vifaa tiba.

Na iwapo utapenda kusoma IT, nenda kasome Ulinzi wa Taarifa na udukuzi kwenye vyuo vya Ulaya na Marekani

Umeona juzi baadhi ya Taasisi za Serikali zilivyodukuliwa

Unaweza kukuta IT wao wengi wamesomea hapa hapa Bongo ambapo teknolojia waliyotumia kujifunza unakuta ni zile Free Download

Ukifanikiwa kuhitimu huko Nje, ni rahisi kuajiriwa Huko huko ama Nchi zozote Africa kutokana na Ubora wa Elimu
Mkuu hiyo Cyber security si itakuwa expensive sana Ada yake. Hususani huko Ulaya
 
Wanangu wawili wamemaliza kozi hizo bado wapo mtaani wanahangaikia ajira mwaka wa tatu huu.

Siku hizi hakuna ajira iliyo wazi kwamba ukimaliza straight forward mzigoni.

Kozi yoyote unayosoma unasota kweli kweli halafu ukija mtaani unasota tena kupambania ajira.

Waulize madaktari kama kuna ajira za moja kwa moja siku hizi ndipo utapata majibu ugumu wa ajira ulivyo kwasasa.
Unajua mitandaoni watu wanaongea vitu kwa urahisi rahisi tu. Ila reality iliyopo kwa ground, acha kabisa.

Watu wanasota.
 
Political Science and Leadership, alafu utakuja nishukuru..!! Watu wengi mno hasa hapa Tanzania hawajui kabisa Siasa na Uongozi bora.
 
Unatakiwa uende veta kijana ili ujifunze kuchoma choma
1000037022.jpg
 
Kuna chuo cha kinaitwa Parul University, kipo Vadodara, Gujarat (India) hiyo course wanayo ila Ada per semester ni 2100USD ambayo kwa mwaka moja (semester mbili) ni 4200USD sawa na milioni 11 kwa mwaka. Hostel zao bei ni 1200USD kupanda.
Sasa bora Parul vyuo vingine vya nje bei zake ni za moto. Kweli hivyo vyuo sitaviweza
Tafuta chuo cha Tanzania soma computer science/engineering also soma online kuhusu blockchain and digital finance, cryptocurrency hili ndo eneo ambalo hakuna watanzania wengi wamesoma na naamini waliopo wapo kidogo saaaaana, na ni wachache wanajua kama kuna hili eneo (achana na hawa watu wanafanya forex, na crpto hawa wana elimu tu kiduchu za kuangalia kwenye youtube na kingine bado mambo bado mabichi saaana). Hii issue ya Central Bank Digital Currency (CBDC) itabadilisha kabisa namna ambavyo banks zinaoperate duniani hivyo kama umejiposition vizuri utapata cha kufanya iwe kuajiriwa au kujiajiri na utapata kipato kikubwa kwa kifupi return kwa investment utapata mapema sana.
 
Hii inaonesha jinsi Gani familia na watanzania tulivokuwa hatuna maono Wala mwelekeo wa maisha.

Hadi unaenda PCM ulikuwa hujui unataka kusoma kitu Gani au kuwa nani?. Sad!!
Mkuu hili ni tatizo kubwa sana. Familia zinaangalia tu ufaulu kwenda mbele ila kusomea nini hiyo hawajui. Bora huyu kaja kuomba ushauri mapema. Wengine hadi tunajaza form hatukujua tunataka kusomea nini... ni bahati kwa sisi wa miaka ya nyuma angalau ajira zilikuwepo
 
Ungekuwa na hela ungetafuta chuo duniani kinachotoa degree ya blockchain technology na issue za cryptocurrency maana ndipo uelekeo dunia ilipo.
kama hiyo option ya 1 ngumu kuwezekana ningekuwa wewe ningesoma computer science/engineering baadae ningesoma hizo field nilizomention hapo juu plus cyber security
Naomba asome aelewe vizuri hii pia namuongezea ushauri huko kwenye treni Automotive awachukui huko ni Mechanical engineering na Electrical engineering hawa wa Electronics and tele eng wao sana sana ni watu wa control. Kwa kozi za engineering ungepiga Civil ila usiache kabisa skills kama coding. Ila kwangu mimi bora Computer science au Eng.
 
Wakuu mimi ni mkazi wa Lindi nimesoma PCM shule moja uboizini huko Mbeya na nimemaliza mtihani wa taifa siku chache tu zilizopita. Hapa bado nawaza niende JKT au nipumzike home hii miezi kadhaa

Kwa nilivyofanya mtihani najua nitapata Division 1 ya point 6 hadi 8.
Sasa kuna Jambo linanitatiza hususani kwenye hii era ambayo ajira hakuna. Naomba ushauri kwa JF Experts.
Vyuo ninavyotamani kusoma ni
  • University of Dodoma
  • Dar es Salaam Institute of Technology
  • National Institute of Transport
  • Dar es Salaam Maritime Institute
  • Mbeya University of Science and Technology
  • Muhimbili University of Health and Allied Sciences
UDSM na MUHAS napapenda ila nasikia cutting point zao ni kubwa Sana

Sasahivi walimu wetu wanatuambia kuwa Biomedical Engineering ina soko ila kama ukipata ufaulu chini ya Division 1 ya 5 hupati chance ya kusoma hiyo kozi

Kwa hiyo huwa nawaza sana nisome kozi ipi ambayo ina nafasi kubwa ya kupata ajira au kujiajiri at least ukilinganisha na kozi nyingine

Watu wengine wanasema Computer Engineering ina soko, hivi ni kweli wakuu au ndo tunaingizana cha kike?

Kozi nyingine ninazowaza ni
  • Mechanical Engineering
  • Automotive Engineering
  • Electrical Engineering
  • Chemical Engineering
  • Mechatronics Engineering
  • Telecommunications Engineering

Kweli napenda Engineering ila sijui hata ipi inahitajika kwa Bongo ipi haihitajiki. Nimesoma thread nyingine nyingi ila bado sijapata majibu. Kuna muda nawaza niachane na Engineering labda nisome Accounting and Finance au Agricultural Science pale SUA ila nahisi watu wa Accounting ni wengi sana. Ajira zitakuwa ngumu mbeleni (sijui ila ninahisi tu)

Au nisome "Mechanical Engineering" Halafu nikatafute kazi JWTZ maana walisema ni kozi adimu na inahitajika jeshini. Au sijui nisome Automotive Engineering kwenye magari au hata treni nione kama ina tija 🥲

Nikisikia na watu wa mtaani wanavyotutisha kuhusu maisha ya mtaani yalivyo magumu ndo nachanganyikiwa kabisa. Hizo habari zinafanya nakosea hadi raha. Au niende chuo nikasome kwa bidii sana nipate GPA kubwa nione kama naweza kuwa lecturer. Nawaza mengi ila bado Niko njia panda Sana.

Naombeni ushauri wakuu nikasome nini chuo. Kozi yoyote Ile nzuri yenye soko la ajira Tanzania hata kama ni ngumu fresh tu, kupiga msuli naweza maana nina hamu sana na ajira.
Naombeni mawazo yenu wakuu
Nenda Harvard university mkuu
 
Mkuu hili ni tatizo kubwa sana. Familia zinaangalia tu ufaulu kwenda mbele ila kusomea nini hiyo hawajui. Bora huyu kaja kuomba ushauri mapema. Wengine hadi tunajaza form hatukujua tunataka kusomea nini... ni bahati kwa sisi wa miaka ya nyuma angalau ajira zilikuwepo
Tuna safari ndefu sana,
Walioendelea mtoto akizaliwa huwa wazazi wanatafuta kujua mtoto huyu anataka kutatua tatizo gani, au kutatua matatizo gani na so wanamkuza kuelekea kupata maarifa ya kutatua matatizo hayo ndo unakuta akina Mark Zuckerberg na wengine wanaleta bidhaa na huduma ambazk ni groundbreaking duniani
 
Wakuu mimi ni mkazi wa Lindi nimesoma PCM shule moja uboizini huko Mbeya na nimemaliza mtihani wa taifa siku chache tu zilizopita. Hapa bado nawaza niende JKT au nipumzike home hii miezi kadhaa

Kwa nilivyofanya mtihani najua nitapata Division 1 ya point 6 hadi 8.
Sasa kuna Jambo linanitatiza hususani kwenye hii era ambayo ajira hakuna. Naomba ushauri kwa JF Experts.
Vyuo ninavyotamani kusoma ni
  • University of Dodoma
  • Dar es Salaam Institute of Technology
  • National Institute of Transport
  • Dar es Salaam Maritime Institute
  • Mbeya University of Science and Technology
  • Muhimbili University of Health and Allied Sciences
UDSM na MUHAS napapenda ila nasikia cutting point zao ni kubwa Sana

Sasahivi walimu wetu wanatuambia kuwa Biomedical Engineering ina soko ila kama ukipata ufaulu chini ya Division 1 ya 5 hupati chance ya kusoma hiyo kozi

Kwa hiyo huwa nawaza sana nisome kozi ipi ambayo ina nafasi kubwa ya kupata ajira au kujiajiri at least ukilinganisha na kozi nyingine

Watu wengine wanasema Computer Engineering ina soko, hivi ni kweli wakuu au ndo tunaingizana cha kike?

Kozi nyingine ninazowaza ni
  • Mechanical Engineering
  • Automotive Engineering
  • Electrical Engineering
  • Chemical Engineering
  • Mechatronics Engineering
  • Telecommunications Engineering

Kweli napenda Engineering ila sijui hata ipi inahitajika kwa Bongo ipi haihitajiki. Nimesoma thread nyingine nyingi ila bado sijapata majibu. Kuna muda nawaza niachane na Engineering labda nisome Accounting and Finance au Agricultural Science pale SUA ila nahisi watu wa Accounting ni wengi sana. Ajira zitakuwa ngumu mbeleni (sijui ila ninahisi tu)

Au nisome "Mechanical Engineering" Halafu nikatafute kazi JWTZ maana walisema ni kozi adimu na inahitajika jeshini. Au sijui nisome Automotive Engineering kwenye magari au hata treni nione kama ina tija 🥲

Nikisikia na watu wa mtaani wanavyotutisha kuhusu maisha ya mtaani yalivyo magumu ndo nachanganyikiwa kabisa. Hizo habari zinafanya nakosea hadi raha. Au niende chuo nikasome kwa bidii sana nipate GPA kubwa nione kama naweza kuwa lecturer. Nawaza mengi ila bado Niko njia panda Sana.

Naombeni ushauri wakuu nikasome nini chuo. Kozi yoyote Ile nzuri yenye soko la ajira Tanzania hata kama ni ngumu fresh tu, kupiga msuli naweza maana nina hamu sana na ajira.
Naombeni mawazo yenu wakuu
kwa sababu ukimaliza huko kuna kwenda veta nashauri nenda tu veta mojakwamoja kasomee fani unayotaka utakuwa umeokoa pesa na muda
 
Hata hiyo naweza kusoma. Ila mkuu sio kwamba ina watu wengi sana? Au ni hofu yangu tu. Mimi nikaenda kusoma hiyo accounting najiamini naweza pata GPA ya 4 or above kwa sababu chuo Ndio karibu na maisha
Kama ni nzuri sana naweza kusoma mkuu
Chuoni Kuna kozi za watu wengi na wachache,

Accounting and finance kwa IFM darasa moja lilikuwa halikosi wanafunzi 700-800,

Mpaka mnakuja kuhitimu labda 680, kwahiyo wingi wa watu usikufanye uogope kozi ni wewe kujiandaa zaidi kukabiliana na soko la ajira kwa kutafuta maarifa ya shule na mtaani upate kuishi.

Ingekuwa mimi ndo naanza chuo kipindi hiki ningesoma kwa asilimia chache huku nikitafuta survival kubwa mtaani ili kukabiliana na soko la ajira,

Though ajira zipo nyingi sana, ttzo zipo connected tuu na watu hivyo inakuchukua muda kupambana ili upate hiyo nafasi.

Mwisho wa siku feel free kusoma unachokipenda na kuwa na passion nacho.
Work hard and good luck
 
Wakuu mimi ni mkazi wa Lindi nimesoma PCM shule moja uboizini huko Mbeya na nimemaliza mtihani wa taifa siku chache tu zilizopita. Hapa bado nawaza niende JKT au nipumzike home hii miezi kadhaa

Kwa nilivyofanya mtihani najua nitapata Division 1 ya point 6 hadi 8.
Sasa kuna Jambo linanitatiza hususani kwenye hii era ambayo ajira hakuna. Naomba ushauri kwa JF Experts.
Vyuo ninavyotamani kusoma ni
  • University of Dodoma
  • Dar es Salaam Institute of Technology
  • National Institute of Transport
  • Dar es Salaam Maritime Institute
  • Mbeya University of Science and Technology
  • Muhimbili University of Health and Allied Sciences
UDSM na MUHAS napapenda ila nasikia cutting point zao ni kubwa Sana

Sasahivi walimu wetu wanatuambia kuwa Biomedical Engineering ina soko ila kama ukipata ufaulu chini ya Division 1 ya 5 hupati chance ya kusoma hiyo kozi

Kwa hiyo huwa nawaza sana nisome kozi ipi ambayo ina nafasi kubwa ya kupata ajira au kujiajiri at least ukilinganisha na kozi nyingine

Watu wengine wanasema Computer Engineering ina soko, hivi ni kweli wakuu au ndo tunaingizana cha kike?

Kozi nyingine ninazowaza ni
  • Mechanical Engineering
  • Automotive Engineering
  • Electrical Engineering
  • Chemical Engineering
  • Mechatronics Engineering
  • Telecommunications Engineering

Kweli napenda Engineering ila sijui hata ipi inahitajika kwa Bongo ipi haihitajiki. Nimesoma thread nyingine nyingi ila bado sijapata majibu. Kuna muda nawaza niachane na Engineering labda nisome Accounting and Finance au Agricultural Science pale SUA ila nahisi watu wa Accounting ni wengi sana. Ajira zitakuwa ngumu mbeleni (sijui ila ninahisi tu)

Au nisome "Mechanical Engineering" Halafu nikatafute kazi JWTZ maana walisema ni kozi adimu na inahitajika jeshini. Au sijui nisome Automotive Engineering kwenye magari au hata treni nione kama ina tija 🥲

Nikisikia na watu wa mtaani wanavyotutisha kuhusu maisha ya mtaani yalivyo magumu ndo nachanganyikiwa kabisa. Hizo habari zinafanya nakosea hadi raha. Au niende chuo nikasome kwa bidii sana nipate GPA kubwa nione kama naweza kuwa lecturer. Nawaza mengi ila bado Niko njia panda Sana.

Naombeni ushauri wakuu nikasome nini chuo. Kozi yoyote Ile nzuri yenye soko la ajira Tanzania hata kama ni ngumu fresh tu, kupiga msuli naweza maana nina hamu sana na ajira.
Naombeni mawazo yenu wakuu
Tuliza wenge subiri matokeo yatoke . Usije tu ukashangaa umelamba div 3 ya 14
 
Nilikuwa nawaza hivyo ila juzi niliona taarifa ya habari wanasema "VIJANA WALIOHITIMU JKT WAPEWA SOMO WAACHE KUTEGEMEA KUAJIRIWA JWTZ BADALA YAKE WAJITEGEMEE"
Hii habari ikanitisha kidogo kuwa huenda imekuwa kero huko JKT kila mtu anataka kubaki hadi JKT inaamua kuingilia kati kuwatoa matumaini hayo
Acha kuogopa kila kitu kwani miezi mitatu utapungukiwa nini , mahitaji wa wanajeshi wataalamu ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom