ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
- Thread starter
- #41
bora umwambie kwani niko kopilaiti na yeye kitabia,kimiondoko, kwa kusema ovyo bila mpangilio, kwa kukaa kimya hadi kisura kama hivi
Bujibuji unatafuta ngumi, mwanangu Zion Daughter anatabirika na kueleweka. ladyfurahia ni mtoto wako na amethibitisha mwenyewe! Malezi yamekushinda unaanza kumgawa mtoto kwa watu wengine.