stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,106
kwako hawezi kukuonesha huo usumbufu kwetu sisi huku ndo shida best
shida gani?
Straight to the point.
kwako hawezi kukuonesha huo usumbufu kwetu sisi huku ndo shida best
shida gani?
Straight to the point.
Mhe. Spika Mtambuzi hebu mpe mwongozo huyu naona anataka kutaga hapa
ladyfurahia, kama wewe sio mwanharamu ulijuaje kuwa mimi ni mtaalam wa wana haramu?hebu muulize Bujibuji atakueleza kwani yeye ndo mtaalamu wa hayo mambo
be blessed
Pole sasa nimeshiba ila mimi najona mimi na simwingine dah!!naomba kikao na wewe!!
ladyfurahia, kama wewe sio mwanharamu ulijuaje kuwa mimi ni mtaalam wa wana haramu?
be blessed
ladyfurahia mama yako ni nani? mwaJ??Si ni wewe ndo uliyenizaa mm halafu ukasema hunitambui na mm nimeelezwa yote na mama kuhusu wewe, hivyo wewe ndo mtaalamu zaidi yangu
na mimi naomba Muongozo Mh M/kigoda.. huyu Spika ana taaluma gani? sababu naonekana anaweza kuongoza vikao vya mipasho siyo vya bunge kama hili, na je status yake ikoje kaolewa au kaoa? mengine yanafuata
hivi hujui kuwa siku hizi bunge la CC tumebadilisha lugha sema unataka nini? nyosha mkono na sema "NAOMBA UTARATIBU" usimwingilie mwenzako wakati anatoa hoja yake?
Bujibuji unatafuta ngumi, mwanangu Zion Daughter anatabirika na kueleweka. ladyfurahia ni mtoto wako na amethibitisha mwenyewe! Malezi yamekushinda unaanza kumgawa mtoto kwa watu wengine.ladyfurahia mama yako ni nani? mwaJ??
hivi hujui kuwa siku hizi bunge la CC tumebadilisha lugha sema unataka nini? nyosha mkono na sema "NAOMBA UTARATIBU" usimwingilie mwenzako wakati anatoa hoja yake?
ngoja nikuache mume wa mtu mie sitaki makubwa tena kwani sitabiriki
ladyfurahia mama yako ni nani? mwaJ??
ladyfurahia mama yako ni nani? mwaJ??
nimenyoosha mpaka nimechoka naona hunioni... naona na wewe umekuwa kama makinda na makinda yake