GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,657
- 109,057
Hawa hawana sifa za uongozi ni mzigo kwa serikali pia kwa soka letu, haiwezekan taasisi hata kuishauri serikali issue za maana za kimpira hawawez!Karia na bodi yake ya ligi wajiuzuru, tumeshawachoka, hawana jipya!
Pesa zitaenda kwenye miradi mingineEbanaee Hawa tff wajipange kukivua kiatu kmewabana pamoja na waziri awajibike na najiuliza zile pesa walizolipa kiingilio ndo wananchi wameibiwa bila huruma halafu wanajinadi wanatetea wananchi masikini
Ile barua ni mtego kwa TFF, watoe maelezo ya kina.Manara tayari kawaandikia baria analalamika anataka point tatu za mezani
Hahaaa kweli baba Kuna JamboPesa zitaenda kwenye miradi mingine
Barua ya Manara haijanukuu hata kanuni moja utajibu nini pale.Ile barua imejaaa bla bla tu ni ya kupuuzwa kama tamko la TFFIle barua ni mtego kwa TFF, watoe maelezo ya kina.
Haya mkuu tupe hiyo dharula iliyotoa game saa 11 kwenda saa 1 usiku''Bahati mbaya Yanga SC wanainukuu tofauti kanuni namba 10 kifungu kidogo cha 15 kuhusu taarifa ya kubadilisha muda wa mechi chini ya masaa 24, hawataki kufika mpaka chini ambako inaeleza kama kuna dharura yoyote mechi inaweza kubadilishwa muda wowote''