Nisilolijua kuhusu biashara ya utumwa

mkuu unataka kusema watu wa pwani hizo sifa anuwai hawana!!?

In general hawana. Fanya uchunguzi mdogo tu wa maumbile ya watu wa bara na Pwani, utagundua watu wa bara ni wakubwa na wenye nguvu kuliko wapwani. Unadhani kwanini zamani wanajeshi wengi walikua wakurya! Kuhusu uvivu everybody knows that
 
Kwa ujumla mimi nawachukia sana watu weupe. Tena ninapoona viongozi wetu as sasa wanawanyenyekea wananizidishia chuki na nachanganyikiwa nisijue wepi nafuu hawa wa sasa au machifu wa zamani !!??????????????
 
Ivi mtu kuchukuliwa utumwa nayo Ni sifa, Mimi naona mtumwa alitizamwa Kama mnyama, yaani punda ng'ombe na wanyama kazi wengine wenye nguvu, ila hawana uwezo wa akili. Ndiyo maana mtu mmoja alikuwa na uwezo kuchunga watumwa mia moja, hii watu wa pwani walikataa, soma historia ya vita ya majimaji na historia hiyohiyo inaonyesha uhuru wa Tanzania vuguvugu lake lilikua likifanyika pwani.
 
Kwa ujumla mimi nawachukia sana watu weupe. Tena ninapoona viongozi wetu as sasa wanawanyenyekea wananizidishia chuki na nachanganyikiwa nisijue wepi nafuu hawa wa sasa au machifu wa zamani !!??????????????
Mtu mweupe hatakaa hata siku moja kukiri waziwazi madhambi waliomfanyia mtu mweusi. Waafrika tumeteseka kuliko hata wayahudi.
Huwezi amini ....Elmina Castle lilikuwa ni hekalu la kutunza watumwa. na katikati ya hekalu kulikuwa na kanisa. ndio kanisa la kwanza la kikatoliki Afrika... kusini mwa jangwa la sahara... hapa utumwa na ukatoliki huwezi kuvitenganisha.
Elmina Castle a Site of Pilgrimage for African-Americans
 
Back
Top Bottom