Nisilolijua kuhusu biashara ya utumwa

moghasa

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,084
1,253
Wakuu, Umofia kwenu!

Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikiwaza, labda kwa kuwa nilikuwa sijakubali kuwa JF ni zaidi ya the free encyclopedia.

Naombeni msaada wenu wanahistoria;

Kulikuwa na haja gani hadi Mwarabu amfuate Mnyamwezi Tabora, Muha huko ujiji licha ya mazingira magumu ya wakati huo!? Njiani akawapita wakwere, waluguru, wamakonde, wagogo and the like.

Msaada kwenye tuta please..
 
jibu: watu wa pwani ni wavivu na wazito kufikiri eg jk na a.h mwinyi...watu wa bara ni watu wa kazi eg jpm na jk nyerere
 
Ila sidhani kama walikuja mara moja tu wakaanza safari ya tabora, nadhani walipitia stages mbalimbali mpaka wakajikuta wapo huko... inavyoonekana walifanya majaribio mengi maeneo mengi, ila tabora ndio ikawa the best...
 
jibu: watu wa pwani ni wavivu na wazito kufikiri eg jk na a.h mwinyi...watu wa bara ni watu wa kazi eg jpm na jk nyerere
Aisee @yahoo wenyewe wakiona hili bandiko mbona hayo macho yatachomolewa kabisa kwenye socket zake!
 
jibu: watu wa pwani ni wavivu na wazito kufikiri eg jk na a.h mwinyi...watu wa bara ni watu wa kazi eg jpm na jk nyerere
Ivi mtu kuchukuliwa utumwa nayo Ni sifa, Mimi naona mtumwa alitizamwa Kama mnyama, yaani punda ng'ombe na wanyama kazi wengine wenye nguvu, ila hawana uwezo wa akili. Ndiyo maana mtu mmoja alikuwa na uwezo kuchunga watumwa mia moja, hii watu wa pwani walikataa, soma historia ya vita ya majimaji na historia hiyohiyo inaonyesha uhuru wa Tanzania vuguvugu lake lilikua likifanyika pwani.
 
Nafikiri sio tu walifuata watumwa uko ila walikuwa wanaenda interior purposely ya kupata natural resources kama meno ya tembo na kadhalika maana tembo walikuwa wakipatikana interior na sio pwani kwakuwa pwani tayali miji ilishakuwa ivyo ikawabidi kuchukua na hao watu wa interior kwa sababu kuu mbili kubeba mali ghafi zao na pia kuwauza hao makuli
 
Kwetu uchagani wangetia mguu tungewageuza mbuzi wa mila hao wauza watu, damu yao ingekua kisusio safi kabisa.
 
Mimi niliambiwa sababu kuu ya kwenda interior kuwasaka hao watumwa ni kwamba ilikuwa sio rahisi hao watumwa kutoroka pindi wafikishwapo pwani kwani walitembea umbali mrefu sana. Kingine ni tamaa za machifu wa kipindi kile kwani ndo walioahirikiana na hao Waarabu kukamata hao watumwa na kuwaptia waarabu na machifu kupatiwa vitu kama silaha, nguo n.k
 
sababu ni..
1.raw materials nyingi zilitoka interior huko sio pwani.
2. Watu wa pwani wengi walikuwa waislamu so waarabu wakawa wanawafavor flani coz sio makafiri. So option ya non Muslims(wa bara) ilikuwa inevitable.
3. Machifu wengi waliuza Watu wao kwa kufanya makosa fulani katika jamii. Do kuwapata ilikuwa rahisi Plus means ya kuwanunua ilikuwa cheap. Mfano vioo ambavyo pwani vilikuwepo Kibao viliweza kununua mtumwa huko bara ambako havikuwepo.
4. Watu wa bara wengi walikuwa giants so minguvu mingi.
5. Watu wa bara hawakutoroka kirahisi kurudi makwao pindi walipofika pwani ya Bagamoyo. Koz distance waliyotoka na ushamba wao.
6. Watu wa pwani walikuwa Chini ya utawala wa masultani ambao walikuwa waarabu. So kuwachukua ilikuwa ugomvi na sultani aliwetumikisha kwenye mashamba ya minazi, karafuu n.k.
 
Jiulize kwanini wazungu walivyofika America waliacha kuwatumia red indies na kuja africa kuwachukua africans
 
Watu wenye uwezo wa kazi ndio walikua shabaha kwenye biashara ya utumwa. Watu wa bara (kama muwaitavyo) kiasilia Ni wakubwa, wapana na wachapakazi hivyo ndio walifaa zaidi. Angalia pia watumwa waliochukuliwa Africa kwenda Amerika wote walitoka West Africa sababu watu wa kule ni wakubwa na wenye nguvu kuliko watu wa South Africa. Ipo hivyo hadi leo
 
Watu wenye uwezo wa kazi ndio walikua shabaha kwenye biashara ya utumwa. Watu wa bara (kama muwaitavyo) kiasilia Ni wakubwa, wapana na wachapakazi hivyo ndio walifaa zaidi. Angalia pia watumwa waliochukuliwa Africa kwenda Amerika wote walitoka West Africa sababu watu wa kule ni wakubwa na wenye nguvu kuliko watu wa South Africa. Ipo hivyo hadi leo
mkuu unataka kusema watu wa pwani hizo sifa anuwai hawana!!?
 
Back
Top Bottom