kwa sasa niko na hostages, ni nzuri pia, kama upo dsm inapatikana kama soft copy njoo hapa mlimani city, opp lango la in/out upande wa survey:hail:
Wadau mi nimeangalia series kadhaa ila bado sijaona nzuri zaid ya NIKITA na 24, kama kuna mtu anajua nzuri zaidi hizo naomba anitajie nichek.
Ziwe za kijasusi tu
Hebu mention hizo kadhaa japo 5 tu ndugu. Maana jina Lako linaonesha uko nyikani sasa series nzur utazipataje? Huko
Naombeni zile Za kijasusi ...napenda sana!
Hata mia wewe nitajie tu
Homeland
Fringe
Flashfoward
Nikita 24
The 100
Homeland
The blacklist
Leverage
Arrow
Revolution
Lost
Legend of the seeker
Mind ur lg
Na nyingine hata sizikumbuki
Kaka nivumilie kwa maswali je Kati ya hizi ulizotaja +nikita na 24 zipi tatu za mwanzo Wewe kuziona?please