Nishaurini Series bora ya kuangalia

Nishaurini Series bora ya kuangalia

Mkuu m napenda sana ancient story series tofauti na game of thrones,da Vinci demons,Spartacus,, Roma,black sail, reign naomba unijulishe nyingine zipi ni nzuri nizitafute

Tafuta suits,the originals and lie to me
 
24: live another day (10 episode up to now)
black list (one season is complete)
Orphan black( two seasons yet)
The 100( one complete season yet)
Dexter ( full series)
Breaking bad( full series)
Tyrant (new only three episode)
Hizo mkuu zitafute hutajilaumu.....

mkuu hyo 24 live another day pamoja na blacklist hizo balaa. Skuziangalia lakn nikaamua kuzitafuta kwa kweli hzo ni nzur
 
24: live another day (10 episode up to now)
black list (one season is complete)
Orphan black( two seasons yet)
The 100( one complete season yet)
Dexter ( full series)
Breaking bad( full series)
Tyrant (new only three episode)
Hizo mkuu zitafute hutajilaumu.....

TYRANT ndio habar bhanaaa... mkuu tupo wote hapo
 
Series zimegawanyika,tuambie unapenda aina gani kana na romantic,action,sc-fi,za kikorea(ziko za mapanga,action zakisasa,mapenzi)

Nimesema hivi mana napenda spactus(lakini wengine hawaipend mana ina ngono mwanzo mwisho.Upande wa kikorea napenda series za kistoria nying zina mapiganoya kimapanga lakini wengine wanapenda kikorea za kimapenzi

kama mm napenda sana hzo za action hasa za kijasusi kama blacklist na 24.
Hzo za romantic na za kikorea hayo ya mapanga niko mbali nazo. Ndio maana aata spartacus siipendi. Halafu hata za kizombie nazikubali
 
Kama unapenda muvi za mapanga shaa ya kizamani tafuta Games of throne, Spatacus, Archiles, Rome to Egypt na Road to gods.
 
Revenge
Twisted
Devious Maids
Mad Men
Game of Thrones
Crisis
Under the Dome
Teen Wolf
Breaking Bad
Orphan Black
Fargo
Salem
Sleepy Hollow
The Tommorow People
Homeland
American Horror Story
The Newsroom
Black List

Ukimaliza hizo njoo unipe update za wenzetu walivyotuacha kwenye hizi mambo
 
Revenge
Twisted
Devious Maids
Mad Men
Game of Thrones
Crisis
Under the Dome
Teen Wolf
Breaking Bad
Orphan Black
Fargo
Salem
Sleepy Hollow
The Tommorow People
Homeland
American Horror Story
The Newsroom
Black List

Ukimaliza hizo njoo unipe update za wenzetu walivyotuacha kwenye hizi mambo
 
Back
Top Bottom