Mkuu ..
Iko vizuri hii kitu?
sana itafute hautajutia muda wako
Mkuu ..
Iko vizuri hii kitu?
Mkuu hii kitu ni balaa uwa naiwazua alhamis tu kwa sababu ya hii kitu.
Tyrant iko vizuri mkuu...
ishushe hutajilaumu.
Tenx bro nimeishusha iko vizuri sahivi nimehamia kwenye the last ship!
wow...the last ship... you won't regret it mister.
Tafuta suits,the originals and lie to me,the wire
mkuu spactus zipo ngapi had sasa
kama mm napenda sana hzo za action hasa za kijasusi kama blacklist na 24.
Hzo za romantic na za kikorea hayo ya mapanga niko mbali nazo. Ndio maana aata spartacus siipendi. Halafu hata za kizombie nazikubali
Jamal..
hili ndio lilitakiwa kuwa swali la kwanza la msingi kutoka hapo ndio watu waanze kumshauri.
Mpumbav sana aisee halaf eti president now
Empress KI
Korean o?
Yes ni Korean, ni mzuri sana