Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
- Thread starter
- #21
Hahahaaa.Nataka kuleta mapinduzi.Isitoshe najisikia sina hobi ya pamba nyepesi wala fudi ndio maana nikachagua huku kwenye kujenga.Halafu wote ambao mnaendelea na ujenzi kuanzia wewe Fidel itabidi mniunge uteja.Weweeeeeee hao wapo juu k/koo hapo utawakuta kwenye pamba nyepesi kama unamtaji wa kuruka China na Thailand ingia huko kwenye pamba nyepesi