Eneo zuri kwa biashara ya hardware

David ayeya

Member
Feb 3, 2021
33
42
Habarini wakuu,
Natafuta location nzuri kwaajili ya kufungua biashara ya hardware hasa pembezoni mwa mji ambapo bado ujenzi unaendelea.

Itapendeza kama itakuwa ndani ya mkoa wa Dar au Pwani. Ni biashara ambayo nina ifanya mpaka sasa maeneo ya chanika ila nahitaji kubadilisha location.

Mtaji wangu ni mil.20
 
Back
Top Bottom