Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,275
- 31,404
Tatizo la Ngereja ni kule KUROPOKA kwake mara sita kuwa MGAO WA UMEME SASA UTABAKI HISTORIA.............. WAKATI HALI HALISI HAIPO HIVYO........ Mbaya zaidi hadi sasa hata yeye hajatuambia tatizo hasa ni nini............KANYIMWA PESA ZA KUTEKEREZA MIRADI............ KANYIMWA WATAALAMU............ au nini kimetokea hadi hali imefikia hapa. HIVYO BUNGE LIKIANZA NA YEYE BASI ATAKEFUATA ATAKUWA MUWAZI MAPEMA.Jamani twende mbele turudi nyuma: Mimi binafsi nachukia sana nchi kuwa gizani lakini mbona Ngeleja anakuwa mbuzi wa kafara? Hivi kosa la Ngeleja ni lipi? Ni kwamba hashauri vizuri au ni kwamba nchi haina pesa za kuwekeza kwenye umeme? Hivi hili ni suala la Ngeleja binafsi au ni suala la Serikali nzima?